Namna ya kufungua computer bila kufahamu user password


mkuu nimeku_pm
 
kuna cd moja inaitwa Hirens Boot CD ina vitu vng sana ikiwepo password remover na huwa ina boot at the start up on ur windows.. haipotez data hata moja.. maelezo zaid ni PM...
:A S 465:
 
Hirens Boot CD ni suruhisho la tatizo lako nirahisi kutumia na haiitaji comand zozote ni pm nikusaidie
 
Mimi nina CD ambayo nimekuwa nikiitumia kufanya kazi hizo na haijawahi fail,inachukua dk 3,kazi kwisha.
 
If the OS is Win XP ts easy as CDM winning the election 2015,just boot t on safe mode and it will bypass any password restriction,which u can then disable and then restart the PC normally. Win 7 na Vista hiyo trick ilis2kiwa na ikazuiwa so ts a bit diffclt to logn today،s PC lyk dat(Since few people use Xp these days) difficult bt not impocble. If u wanna go undtected using Ubuntu live disc kama alivosema mkuu hapo juu ndo the best na rahisi zaidi. But u can also run recovery disks which could take a while and will totally anhilate t
 
Kama ni windows xp, na ameweka akaunti yenye jina tofauti na administrator, na we shida yako ni kutumia tu, bonyeza alt+ctrl+del mara mbili itakuja sehemu ya kuandika jina la akaunti na password, akaunti andika administrator password acha wazi kisha bonyeza enter. Itafunguka default akaunti ya computer lakini hutoweza kuona document za akaunti nyingine, utaona programms tu.
 

I leave my Email mkuu ili unitumie mkuu in my inbox rennsammy@hotmail.com
 
Huyo aliyeleta hii thred ni mwizi wa computer, Mimi nimeibiwa laptop yangu kama wiki tatu hivi zilizopita lakini ina passwod Admin, nadhani wanataka kuifungua. Jamani acheni kusaidia wezi leo kwangu kesho kwako! Haiingii akilini passwd uweke mwenyewe halafu uisahau na kila siku unatumia computer? Hawa ndio wanatuibia computer zetu.
 
Huyo aliyeleta hii thred ni mwizi wa computer, Mimi nimeibiwa laptop yangu kama wiki tatu hivi zilizopita lakini ina passwod Admin, nadhani wanataka kuifungua. Jamani acheni kusaidia wezi leo kwangu kesho kwako! Haiingii akilini passwd uweke mwenyewe halafu uisahau na kila siku unatumia computer? Hawa ndio wanatuibia computer zetu.
 
Safi sana mkuu hawa jamaa wameniibia Laptop wanataka kuifungua paswd, bora ulivyowajibu majizi siyo ya kuyafuga.

Mkuu hii computer inaonekana siyo yako, either ya wizi au unataka kuhak computer ya watu...ushauri wangu tuachana na hao wanaokwambia ureset paswrd sbb utashtukiwa maana kama mtu aliweka pasword yake na akakuta computer haina paswrd atajua kuna mtu kachezea...solution hapo ni kutafuta namna ya kubypass log on screen. kama utaweza kuprove hapa javini kuwa hiyo computer ni yako binafsi nitakwambia nini cha kufanya ila for now nanusa harufu ya uhalifu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…