Namna ya kufanya ukipigwa kibuti

Namna ya kufanya ukipigwa kibuti

Kwan k ipo yake tuu chali angu mbona zipo za kutosha ngoja siku akuaibishe ndo utakoma kungangania
 
Kumchunia ni ushamba,kwani ukimsalimia utapungukiwa na kitu gani??
 
Usikate tamaa km kweli umempenda kwa dhati sidhani km Utachoka ku.muelezea hisia zako ila km ndiyo chapa ilale mpotezee, na km unania nae jaribu Kumchunguza vitu gani anapenda unampelekea vizawadi zawadi vya kumshawis onesha kumjali, alfu asilimia kubwa sisi wanawake tuna aibu sasa ukinitongoza leo kesho kesho kutwa siwezi kukubali haraka hata km nimekupenda,, kuogopa kuonekana mrahisi kwahiyo unaendelea kumsumbua km ukiona bado anakaza anakaza ujue kweli hutakiwa
 
NENDA BUGURUNI KACHUKUE KISU KIKALI PALE KIMBOKA THEN PITA NACHO AKUONE WALAI ATAKUTAFUTA TU
 
hapokei cmu
ajibu sms
hataki kuonana
akiona unamsumbua zaidi anakwambia ana mtu wake hapo unakomaaje sasa ka sio kuonekana chizi
vyote ivyo ni kudengua kwan wanawake hamwajui huwa wapend kuonekana wanachukulika kirahic..sasa ussumbufu km uwo kawaida mkuu..na kama unamuhitaji kwel izo ni changamoto ndogo..ila km unataka umpige dusshe tu bac mwache ila km unataka aje kuwa ktk malengo yko..usichoke watu wanafatilia dem mwaka bhn..kwan. vitu hujawah kusikia..mi shemej yenu aisee nilimfukizia kwa mwaka mzima ndo anakubal tuwe pamoja....lkn ndo mke bora kwang..kwaiyo mkuu izo changamoto tu.. akikuletew njia hii we mtafutie njianyingne bac.
 
ivi kwan yeye hana feeling inakuawaje akutese ivo mwaka mzima eti asionekana mrahisi
nani alisema kama mwanawake lazima akuangaishe ifike kipindi kama anakupenda aseme pia kama hakutaki aseme pia hayo ya kwenda mwaka ni kumforce mtu tu
 
Usikate tamaa km kweli umempenda kwa dhati sidhani km Utachoka ku.muelezea hisia zako ila km ndiyo chapa ilale mpotezee, na km unania nae jaribu Kumchunguza vitu gani anapenda unampelekea vizawadi zawadi vya kumshawis onesha kumjali, alfu asilimia kubwa sisi wanawake tuna aibu sasa ukinitongoza leo kesho kesho kutwa siwezi kukubali haraka hata km nimekupenda,, kuogopa kuonekana mrahisi kwahiyo unaendelea kumsumbua km ukiona bado anakaza anakaza ujue kweli hutakiwa
Asante nimepata point apo...
 
ivi kwan yeye hana feeling inakuawaje akutese ivo mwaka mzima eti asionekana mrahisi
nani alisema kama mwanawake lazima akuangaishe ifike kipindi kama anakupenda aseme pia kama hakutaki aseme pia hayo ya kwenda mwaka ni kumforce mtu tu
mkuu feelings anazo tena wanawake ndo wanafeelings kubwa sana ila lazm akupime kwanza km ni mtu sahihi kwake kwaiyo unakua ktk uangaliz ndo mana anajaribu kukukatisha tamaa .na kama ataona hukati tamaa bdo uko nae ndo hpo sasa atakapo jiaminisha kuwe ww ndo mtu makin kwake umeweza kuvuka vikwazo na mitiahan aliyokupa bila ya ww kujua l.
kwaiyo mkuu wanawake ni watu wa ajabu sana km hutaijua style yao za kutafuta wenza ..so anaweza akawa anakufikiria ila bdo tu kukupa moyo wake..so mkuu km unamalengo nae na unahic kwako ni chaguo halic kazana tu..oneday atakuwa wako usikate tamaa...pia jitoe kwake ht km aonesh kurespond ur text,calls ..ila Kichwan kwake upo na unampa wakat mgumu hasa kipind hik.. so jitahid kuongeza vionjo ktk maneno yako,akikwambia kiti msikilize...mpe nafac kubwa ado ado mkuu..oneday yec.
 
Back
Top Bottom