goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,048
- 1,343
Ni zaidi ya miezi 6 sasa wife akiwa kwao bila sababu ya msng na wazazi wake wameamua kabisa asirudi. Naombeni msaada kuhusu namna ya kudai mahali yangu kwani naona kama ni utapel flan hivi nimefanyiwa