Namna ya ku link mistari ya biblia kwenye word doc

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
470
136
Wadau naomba kujua namna ninavyoweza ku link mistari ya biblia kwenye document ya word, yaani nikiweka link mtu akigusa inampeleka kwenye mstari huo wa biblia. Mf; soma Yohana 3;7.

Natanguliza shukrani zangu kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau naomba kujua namna ninavyoweza ku link mistari ya biblia kwenye document ya word, yaani nikiweka link mtu akigusa inampeleka kwenye mstari huo wa biblia, mf; soma Yohana 3;7.
Natanguliza shukrani zangu kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano hapo
Screenshot_20200327-184153.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau naomba kujua namna ninavyoweza ku link mistari ya biblia kwenye document ya word, yaani nikiweka link mtu akigusa inampeleka kwenye mstari huo wa biblia. Mf; soma Yohana 3;7.

Natanguliza shukrani zangu kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
NATAKA KUJUA HIYO MISTARI YA BIBLIA INAKAA SEHEMU MOJA AU INACHANGANYWA NDANI YA PARAGRAPH TOFAUTI TOFAUTI?
 
Back
Top Bottom