Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,599
Ndugu wanaJF, kuna rafiki yangu ana mke ambaye ana mimba ya miezi mitatu, juzi aliniuliza kuwa anapenda kuendelea kufanya mapenzi na mke wake ila anaogopa asije akaharibu mtoto aliye tumboni. sasa anauliza hivi, atumie style gani katika mambo ya malavidavi kwa huyo mpenzi wake na wakati huohuo asiathiri hali ya mtoto tumboni?
Kwani ni wakati gani inatakiwa mtu asifanye tena mapenzi na mwenzi wake anapokuwa mjamzito?
Najua thread hii iliwahi kuwekwa hapa lakini kila niitafuta siiati kabisa...
Please help me to help this young man!!!