Namna ya ku-do na mama mjamzito

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,592
1,599
Ndugu wanaJF, kuna rafiki yangu ana mke ambaye ana mimba ya miezi mitatu, juzi aliniuliza kuwa anapenda kuendelea kufanya mapenzi na mke wake ila anaogopa asije akaharibu mtoto aliye tumboni. sasa anauliza hivi, atumie style gani katika mambo ya malavidavi kwa huyo mpenzi wake na wakati huohuo asiathiri hali ya mtoto tumboni?
Kwani ni wakati gani inatakiwa mtu asifanye tena mapenzi na mwenzi wake anapokuwa mjamzito?
Najua thread hii iliwahi kuwekwa hapa lakini kila niitafuta siiati kabisa...
Please help me to help this young man!!!
 
T style kaka!muache mwezi mmoja kabla hajajifungua na miezi 3 baada ya kujifungua.Miezi hiyo inabidi ubeeb nje kaka!
 
T style kaka!muache mwezi mmoja kabla hajajifungua na miezi 3 baada ya kujifungua.Miezi hiyo inabidi ubeeb nje kaka!

ok, kumbe T style ndio safe? sasa hapo kwenye u-do nje ndio kuna kazi,,...kumbe inabidi makoloni ya zamani yaendelee kuwa updated....
 
mbona 3 unachakachua tu staili zipo nyingi ilimradi uctumie kifochamende hyo mbaya
 
Kikubwa unachotakiwa kuepuka ni kumlalia tumbo kwa hiyo unaweza piga style yeyote ile. Kama ni kifo cha mende hakikisha unapiga magoti na miguu yake una ning'iniza juu kama vile una anika nguo. Kinyume na hapo anaweza kalia mtulinga au ukaenda na ngoma mdundo chuma mboga. Hi ni saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafi kabisa. Na unaweza kula mzigo mpaka siku anakwenda labour. Huo ni ushauri wa kitaalamu akikushinda mtume kwangu apumzike atarudi siku akijifungua. KARIBU
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom