Namna Wazungu walivyotokea duniani

Namna Wazungu walivyotokea duniani

Labda kwakua kinachoongezeka kwa sasa ni jua na si baridi,hali ya baridi inapungua kila mahali kadir siku zinavyozid kusonga

Kwa hiyo kwa kuwa baridi linapungua kama ulivyosema ina maana mbele mbele huko sanaaa wazungu kuna uwezekano wakawa weusi sababu ya jua kali?
 
Naona Sokwe wamegoma kuendelea badilika kuwa ma black people,
Mkuu huu uzi ukiisha,tuletee Uzi mwingine wa asili ya Malaika.
Usijekuta kuna midude ilibadilika ikawa mapepo meusi,then yakachovwa kwenye jehanam joto likabadili uweusi wao na kuwa uweupe then wakawa Malaika weupe.katika pitapita zao za maisha wengine wakajikuta wamefika mbinguni,huku wengine wakiendelea kutubana huku duniani.
We jamaa, hatari sana Mkuu!! [emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Back
Top Bottom