Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,574
- 1,996
Duh,hii kal..muulize na macho ya kichina vp,,hahahaAsante ila pua ndefu ya kitasha inatoka wapi au nayo ilivutwa na baridi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kinacho nishangaza ni pale mtu anaposema 1+1=2. Lakini mtu mwingine anakuja anasema hapanaa 1+1 sio 2. Huyu mtu anaepinga hatoi sababu ya kwanini 1+1 sio 2!!! Mtu huyu huyu anaepinga hatuambii 1+1 ni ngapi. YEYE ANAPINGA TU.Kinacho nishangaza ni kwamba unakuta mtu kazaliwa mwaka 1900 au 1800 ananza kujifanya mtafiti anatunga mastory Ya uongo na Kweli kisha anakuja kukwambia mambo yaliyotokea miaka billion kadhaa iliyopita Kama syo kunyweshana chai na sukari guru ni nn.
Mimi kinacho nishangaza ni pale mtu anaposema 1+1=2. Lakini mtu mwingine anakuja anasema hapanaa 1+1 sio 2. Huyu mtu anaepinga hatoi sababu ya kwanini 1+1 sio 2!!! Mtu huyu huyu anaepinga hatuambii 1+1 ni ngapi. YEYE ANAPINGA TU.
Sent using Jamii Forums mobile app
I support you 100% on this too. I read this, changes occurred due to difference in foods we eat and climate that led to mutation which rose difference in skin coloration.SEHEMU 1: JINSI YA WAZUNGU WALIVYOTOKEA DUNIANI
Binadamu wa sasa alizaliwa Afrika na kutokana na mtu mweusi watu wa aina yote duniani walipatikana . Swali je ni kwa namna gani rangi tofauti za ngozi zao zilipatikana au maumbo tofauti ya sura hata nywele zao zilipatikana?
Ili ni swali ambalo bado halijibiki kwa urahisi lakini sayansi imefikia maendeleo mazuri katika kulijibu swali hili hasa chuo cha Havard ambacho kilijikita kwenye masomo ya jeni au vinasaba. Genetic studies of Havard University ambacho mwaka 2015 kilijikita katika uchunguzi wa mabaki wa binadamu wa sasa (modern human) katika ulaya ya kale.
KUTOKA TUMAI MPAKA OMO 1: KUZALIWA KWA BINADAMU
Kutokana na nadharia ya kisayansi, Dunia iliumbwa takribani miaka bilioni 13 iliyopita.Mpaka miaka milioni 65 iliyopitan kiumbe ambacho kilikuwa kinatawala dunia kilikuwa ni Dinosau ( Dinosaur).Ambapo kutoweka kwao kulitokana na gimba(asteroid) kugongana na hii sayari hivyo kuruhusu kutokea kwa wanyama wadogo
Miaka milioni 10 iliyopita, kiumbe (primates) kilimzaa sokwe kiumbe ambacho kinafanana na binadamu kwa mara ya kwanza katika historia.Hicho kiumbe kilikuwa kinaitwa Tumai na mabaki yake yalipatikana nchini Chad yakiwa na umri wa miaka miloni 7.
TumaiView attachment 1017824
Kutoka Tumai , kiumbe hicho kinachofanana na binadamu kiliendelea kubadilika taratibu ndani ya Afrika kupitia Homo erectus,Homo habilis, Homo naled,Homo rhodesiensis n.k. Mabaki ambayo yanapatikana Mashariki na kusini mwa Afrika.Baadhi ya hao ya binadamu wa mwanzo walisambaa katika mabara mengine lakini walitoweka kutokana na changamoto za kimazingira.
Takribani miaka 200,000 iliyopita , binadamu wa sasa (Homosapiens) alizaliwa akiwa na komwe, kidevu, ubongo na sifa nyingine sinazomtambulisha kama binadamu wa sasa. Hapa tunazungumza kuhusiana na Omo 1 ambaye mabaki yake yalipatikana Kibishi kusini mwa Ethiopia.Hao ndio walikuwa Waafrika wa kwanza wanaume kwa wanawake walioenda kuitwaa dunia.
WAAFRIKA WALITAWANYIKA DUNIA NZIMA
Miaka 100,000 iliyopita, Viumbe hawa kutoka Afrika walianza kwenda nje ya bara la Afrika kwa kuingia Palestina/Israel na Yemen. Huyu alikuwa binadamu wa kwanza kuikalia Asia yote. Kwa upande mwingine Afrika Magharibi waafrika wenye maumbo mafupi (Mbilikimo) walitumia mkondo bahari wa Antlantic kufika Brazil miaka 50,000 mpaka 65,000 iliyopita hivyo ndivyo walivyoingia Amerika ya kusini. Kutoka kusini –mashariki ya bara la Asia waafrika waliwasili Australia miaka 50,000 iliyopita na wakavijaza visiwa vya Pacific mpaka Hawaii. Na hatimae waliingia ulaya miaka 40,000 iliyopita na kufika nchi za skandinavia na Uingereza.
Hawa watu weusi kutoka Australia na Pacific waliungana Marekani . Watu weusi ambao waliwasili moja kwa moja kutoka Afrika kwa kiasi kikubwa waliijaza Marekani tangu mwanzo
Hivi ndivyo dunia nzima ilijazwa na watu weusi na kwa maelfu ya miaka kulikuwa na watu weusi tu dunia duniani kote .Swali je wazungu, waarabu na waasia walizaliwaje au walitokeaje?
KAZI MUHIMU YA VITAMIN D
Vitamin D ni element ambayo inawezesha mwili kufyonza calcium ambayo hutumika kutengeneza mifupa. Hata hivyo moja ya hatua muhimu katika utengenezaji wa vitamin D inahitaji miale ya jua.Kama kukiwa na jua la kutosha mwili hutengeneza vitamin D. Il kwa kuwa jua ni kali san Afrika linaweza kuleta madhara kwenye ngozi na kusababisha kansa, kwa hiyo mwili unatengeneza pigment zinazoitwa melanin ili kuilinda ngozi. Watu weusi ni weusi kwa sababu miili yao ilitengenezwa ili kuendana na jua la Afrika .
Melanini inaruhusu kiwango muhimu cha miale ya jua kupenya na kutengeneza vitamin D kwa ajili ya mifupa na wakati huohuo kuilinda ngozi dhidi ya jua kali .
Wakati mtu mweusi alipowasili ulaya magharibi alikutana na hali ya barafu. Kipindi hicho hata Uswisi ilikuwa barafu tupu. Hiyo zama ya barafu (Ice Age) ilikuwa ni miaka 130,000 iliyopita na kuisha miaka 10,000 iliyopita ilikuwa inaitwa wurm glaciation.Baridi lilikuwa kali mno na jua lilikuwa adimu katika mazingira hayo.
Melanin ilizuia hiyo miale kidogo ya jua kupenya kwenye ngozi na vitamin D ikawa inatengenezwa kwa kiwango kidogo sana .Kutokana na upungufu wa vitamin D uliosababishwa Melanin kulitokea ulemavu na vifo vya mapema (premature death).
Kutokana na tafiti iliyofanywa na Clemens TL na wengine mwaka 1982 na Carolina na Bolina na wengine mwaka 2014, inasema kwamba wazungu wanazalisha sana vitamin D Kuliko watu weusi wakiwekwa katika mwanga wa jua ulio sawa. Matokeo yake ili mwili uweze kusurvive na kuendana na mazingira ikabidi iondoe melanin hasa kwenye maeneo ambayo jua lilikuwa adimu………..itaendelea
Wako: Benjamins
Credit: AHHA (African History,Histoire Africaine)
Du afu mtani kama nakuelewa ivi nadharia yako sio complicated sana hainiumizi ubongo ila izi facts nyingine zinamlolongo mrefu na maswali mengi ya kujiuliza ambayo mengine majibu hayanaJIBU SAHIHI BINADAMU WA KWANZA NA WANYAMA WA KWANZA DUNIANI WANAPATIKA AFRIKA KATIKA ENEO LA AFRIKA MASHARIKI TANZANIA BINADAMU HAWA WALIKUWA NI WANYAMA WALIBADILIKA KUTOKANA HALI YA HEWA YA KIPINDI HICHO MIAKA MILIONI 3 ILIYOPITA NAKUPATA UMBO TULIYONAYO SASA NA RANGI YAO ILIKUWA NYEUSI UTHIBITISHO WA HILI NI KUGUNDULIKA KWA FUVU LA KWANZA LA BINADAMU WA KALE N'GORO NGORO NA KUWEPO MBUGA ZA WANYAMA WENGI WA KILA HAINA KULIKO SEHEMU YOYOTE DUNIANI HII INATHIBITISHWA KUWEPO KWA DINOSAUR MJUSI MKUBWA NA ALIKUWA MNYAMA MKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI MPAKA LEO HII AMBAYE ALIPATIKANA MTWARA UTHIBITSHO MWINGINE KAMA NABII NUHU ALIAMBIWA AWABEBE WANYAMA WA KILA AINA KWENYE SAFINA ISINGE WEZEKANA KUPATIKANA KWENYE JANGWA NA SEHEMU KAMA ISRAEL AU MASHARIKI YA KATI KWA AKILI YA KAWAIDA SIMBA CHUI TAI TEMBO CHATU FARU NYATI WAISHI JANGWANI KWELI? HII LA GHARIKA LILITOKEA TANZANIA BAADA YA BINADAMU KUONGEZEKA BAADHI YA JAMII ZA BINADAMU WALIAMUA KUTAFUTA MAENEO MENGINE YA KUISHI HUKO WALIKO ENDA WALIANZA KUBADILIKA RANGI KUTOKANA NA HALI YA HEWA WAKAPATIKANA JAMII YA WACHINA WAINDI WAZUNGU N.K..
Waafrica walio ulaya mbona hawabadiriki kuwa weusi..? Na vipi kama ni kinyume cha maelezo yako labda sisi tumetokea ulaya na tulikuea wazungu na badae tukabadirika kuwa wazungu..?SEHEMU 1: JINSI YA WAZUNGU WALIVYOTOKEA DUNIANI
Binadamu wa sasa alizaliwa Afrika na kutokana na mtu mweusi watu wa aina yote duniani walipatikana . Swali je ni kwa namna gani rangi tofauti za ngozi zao zilipatikana au maumbo tofauti ya sura hata nywele zao zilipatikana?
Ili ni swali ambalo bado halijibiki kwa urahisi lakini sayansi imefikia maendeleo mazuri katika kulijibu swali hili hasa chuo cha Havard ambacho kilijikita kwenye masomo ya jeni au vinasaba. Genetic studies of Havard University ambacho mwaka 2015 kilijikita katika uchunguzi wa mabaki wa binadamu wa sasa (modern human) katika ulaya ya kale.
KUTOKA TUMAI MPAKA OMO 1: KUZALIWA KWA BINADAMU
Kutokana na nadharia ya kisayansi, Dunia iliumbwa takribani miaka bilioni 13 iliyopita.Mpaka miaka milioni 65 iliyopitan kiumbe ambacho kilikuwa kinatawala dunia kilikuwa ni Dinosau ( Dinosaur).Ambapo kutoweka kwao kulitokana na gimba(asteroid) kugongana na hii sayari hivyo kuruhusu kutokea kwa wanyama wadogo
Miaka milioni 10 iliyopita, kiumbe (primates) kilimzaa sokwe kiumbe ambacho kinafanana na binadamu kwa mara ya kwanza katika historia.Hicho kiumbe kilikuwa kinaitwa Tumai na mabaki yake yalipatikana nchini Chad yakiwa na umri wa miaka miloni 7.
TumaiView attachment 1017824
Kutoka Tumai , kiumbe hicho kinachofanana na binadamu kiliendelea kubadilika taratibu ndani ya Afrika kupitia Homo erectus,Homo habilis, Homo naled,Homo rhodesiensis n.k. Mabaki ambayo yanapatikana Mashariki na kusini mwa Afrika.Baadhi ya hao ya binadamu wa mwanzo walisambaa katika mabara mengine lakini walitoweka kutokana na changamoto za kimazingira.
Takribani miaka 200,000 iliyopita , binadamu wa sasa (Homosapiens) alizaliwa akiwa na komwe, kidevu, ubongo na sifa nyingine sinazomtambulisha kama binadamu wa sasa. Hapa tunazungumza kuhusiana na Omo 1 ambaye mabaki yake yalipatikana Kibishi kusini mwa Ethiopia.Hao ndio walikuwa Waafrika wa kwanza wanaume kwa wanawake walioenda kuitwaa dunia.
WAAFRIKA WALITAWANYIKA DUNIA NZIMA
Miaka 100,000 iliyopita, Viumbe hawa kutoka Afrika walianza kwenda nje ya bara la Afrika kwa kuingia Palestina/Israel na Yemen. Huyu alikuwa binadamu wa kwanza kuikalia Asia yote. Kwa upande mwingine Afrika Magharibi waafrika wenye maumbo mafupi (Mbilikimo) walitumia mkondo bahari wa Antlantic kufika Brazil miaka 50,000 mpaka 65,000 iliyopita hivyo ndivyo walivyoingia Amerika ya kusini. Kutoka kusini –mashariki ya bara la Asia waafrika waliwasili Australia miaka 50,000 iliyopita na wakavijaza visiwa vya Pacific mpaka Hawaii. Na hatimae waliingia ulaya miaka 40,000 iliyopita na kufika nchi za skandinavia na Uingereza.
Hawa watu weusi kutoka Australia na Pacific waliungana Marekani . Watu weusi ambao waliwasili moja kwa moja kutoka Afrika kwa kiasi kikubwa waliijaza Marekani tangu mwanzo
Hivi ndivyo dunia nzima ilijazwa na watu weusi na kwa maelfu ya miaka kulikuwa na watu weusi tu dunia duniani kote .Swali je wazungu, waarabu na waasia walizaliwaje au walitokeaje?
KAZI MUHIMU YA VITAMIN D
Vitamin D ni element ambayo inawezesha mwili kufyonza calcium ambayo hutumika kutengeneza mifupa. Hata hivyo moja ya hatua muhimu katika utengenezaji wa vitamin D inahitaji miale ya jua.Kama kukiwa na jua la kutosha mwili hutengeneza vitamin D. Il kwa kuwa jua ni kali san Afrika linaweza kuleta madhara kwenye ngozi na kusababisha kansa, kwa hiyo mwili unatengeneza pigment zinazoitwa melanin ili kuilinda ngozi. Watu weusi ni weusi kwa sababu miili yao ilitengenezwa ili kuendana na jua la Afrika .
Melanini inaruhusu kiwango muhimu cha miale ya jua kupenya na kutengeneza vitamin D kwa ajili ya mifupa na wakati huohuo kuilinda ngozi dhidi ya jua kali .
Wakati mtu mweusi alipowasili ulaya magharibi alikutana na hali ya barafu. Kipindi hicho hata Uswisi ilikuwa barafu tupu. Hiyo zama ya barafu (Ice Age) ilikuwa ni miaka 130,000 iliyopita na kuisha miaka 10,000 iliyopita ilikuwa inaitwa wurm glaciation.Baridi lilikuwa kali mno na jua lilikuwa adimu katika mazingira hayo.
Melanin ilizuia hiyo miale kidogo ya jua kupenya kwenye ngozi na vitamin D ikawa inatengenezwa kwa kiwango kidogo sana .Kutokana na upungufu wa vitamin D uliosababishwa Melanin kulitokea ulemavu na vifo vya mapema (premature death).
Kutokana na tafiti iliyofanywa na Clemens TL na wengine mwaka 1982 na Carolina na Bolina na wengine mwaka 2014, inasema kwamba wazungu wanazalisha sana vitamin D Kuliko watu weusi wakiwekwa katika mwanga wa jua ulio sawa. Matokeo yake ili mwili uweze kusurvive na kuendana na mazingira ikabidi iondoe melanin hasa kwenye maeneo ambayo jua lilikuwa adimu………..itaendelea
Wako: Benjamins
Credit: AHHA (African History,Histoire Africaine)
Waafrica walio ulaya mbona hawabadiriki kuwa weusi..? Na vipi kama ni kinyume cha maelezo yako labda sisi tumetokea ulaya na tulikuea wazungu na badae tukabadirika kuwa wazungu..?
Kitu kingine utambue tofauti yetu(waafrika) na wazungu si rangi tu bali vitu kama macho, pua na nywele vyote tunatofautiana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Link hiyoTafuta (search) sehemu ya pili nishaindika tayari ipo jf kuhusu macho, pua, nywele n.k na vingine ulivyouliza ni kwamba ushaidi wa mafuvu ya watu wa kale zaidi kama umesoma hapo juu unapatikana Afrika sio ulaya
Mkuu umefika chuo?! Kujaza article na uppercase mara nyingi inaelezea kiwango cha elimu cha mtu...JIBU SAHIHI BINADAMU WA KWANZA NA WANYAMA WA KWANZA DUNIANI WANAPATIKA AFRIKA KATIKA ENEO LA AFRIKA MASHARIKI TANZANIA BINADAMU HAWA WALIKUWA NI WANYAMA WALIBADILIKA KUTOKANA HALI YA HEWA YA KIPINDI HICHO MIAKA MILIONI 3 ILIYOPITA NAKUPATA UMBO TULIYONAYO SASA NA RANGI YAO ILIKUWA NYEUSI UTHIBITISHO WA HILI NI KUGUNDULIKA KWA FUVU LA KWANZA LA BINADAMU WA KALE N'GORO NGORO NA KUWEPO MBUGA ZA WANYAMA WENGI WA KILA HAINA KULIKO SEHEMU YOYOTE DUNIANI HII INATHIBITISHWA KUWEPO KWA DINOSAUR MJUSI MKUBWA NA ALIKUWA MNYAMA MKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI MPAKA LEO HII AMBAYE ALIPATIKANA MTWARA UTHIBITSHO MWINGINE KAMA NABII NUHU ALIAMBIWA AWABEBE WANYAMA WA KILA AINA KWENYE SAFINA ISINGE WEZEKANA KUPATIKANA KWENYE JANGWA NA SEHEMU KAMA ISRAEL AU MASHARIKI YA KATI KWA AKILI YA KAWAIDA SIMBA CHUI TAI TEMBO CHATU FARU NYATI WAISHI JANGWANI KWELI? HII LA GHARIKA LILITOKEA TANZANIA BAADA YA BINADAMU KUONGEZEKA BAADHI YA JAMII ZA BINADAMU WALIAMUA KUTAFUTA MAENEO MENGINE YA KUISHI HUKO WALIKO ENDA WALIANZA KUBADILIKA RANGI KUTOKANA NA HALI YA HEWA WAKAPATIKANA JAMII YA WACHINA WAINDI WAZUNGU N.K..
Very interesting...sehemu ya 3?! Please, and 4 and 5, whatever man, bring them on...Madini ya kufa mtu haya.....SEHEMU 1: JINSI YA WAZUNGU WALIVYOTOKEA DUNIANI
Binadamu wa sasa alizaliwa Afrika na kutokana na mtu mweusi watu wa aina yote duniani walipatikana . Swali je ni kwa namna gani rangi tofauti za ngozi zao zilipatikana au maumbo tofauti ya sura hata nywele zao zilipatikana?
Ili ni swali ambalo bado halijibiki kwa urahisi lakini sayansi imefikia maendeleo mazuri katika kulijibu swali hili hasa chuo cha Havard ambacho kilijikita kwenye masomo ya jeni au vinasaba. Genetic studies of Havard University ambacho mwaka 2015 kilijikita katika uchunguzi wa mabaki wa binadamu wa sasa (modern human) katika ulaya ya kale.
KUTOKA TUMAI MPAKA OMO 1: KUZALIWA KWA BINADAMU
Kutokana na nadharia ya kisayansi, Dunia iliumbwa takribani miaka bilioni 13 iliyopita.Mpaka miaka milioni 65 iliyopitan kiumbe ambacho kilikuwa kinatawala dunia kilikuwa ni Dinosau ( Dinosaur).Ambapo kutoweka kwao kulitokana na gimba(asteroid) kugongana na hii sayari hivyo kuruhusu kutokea kwa wanyama wadogo
Miaka milioni 10 iliyopita, kiumbe (primates) kilimzaa sokwe kiumbe ambacho kinafanana na binadamu kwa mara ya kwanza katika historia.Hicho kiumbe kilikuwa kinaitwa Tumai na mabaki yake yalipatikana nchini Chad yakiwa na umri wa miaka miloni 7.
TumaiView attachment 1017824
Kutoka Tumai , kiumbe hicho kinachofanana na binadamu kiliendelea kubadilika taratibu ndani ya Afrika kupitia Homo erectus,Homo habilis, Homo naled,Homo rhodesiensis n.k. Mabaki ambayo yanapatikana Mashariki na kusini mwa Afrika.Baadhi ya hao ya binadamu wa mwanzo walisambaa katika mabara mengine lakini walitoweka kutokana na changamoto za kimazingira.
Takribani miaka 200,000 iliyopita , binadamu wa sasa (Homosapiens) alizaliwa akiwa na komwe, kidevu, ubongo na sifa nyingine sinazomtambulisha kama binadamu wa sasa. Hapa tunazungumza kuhusiana na Omo 1 ambaye mabaki yake yalipatikana Kibishi kusini mwa Ethiopia.Hao ndio walikuwa Waafrika wa kwanza wanaume kwa wanawake walioenda kuitwaa dunia.
WAAFRIKA WALITAWANYIKA DUNIA NZIMA
Miaka 100,000 iliyopita, Viumbe hawa kutoka Afrika walianza kwenda nje ya bara la Afrika kwa kuingia Palestina/Israel na Yemen. Huyu alikuwa binadamu wa kwanza kuikalia Asia yote. Kwa upande mwingine Afrika Magharibi waafrika wenye maumbo mafupi (Mbilikimo) walitumia mkondo bahari wa Antlantic kufika Brazil miaka 50,000 mpaka 65,000 iliyopita hivyo ndivyo walivyoingia Amerika ya kusini. Kutoka kusini –mashariki ya bara la Asia waafrika waliwasili Australia miaka 50,000 iliyopita na wakavijaza visiwa vya Pacific mpaka Hawaii. Na hatimae waliingia ulaya miaka 40,000 iliyopita na kufika nchi za skandinavia na Uingereza.
Hawa watu weusi kutoka Australia na Pacific waliungana Marekani . Watu weusi ambao waliwasili moja kwa moja kutoka Afrika kwa kiasi kikubwa waliijaza Marekani tangu mwanzo
Hivi ndivyo dunia nzima ilijazwa na watu weusi na kwa maelfu ya miaka kulikuwa na watu weusi tu dunia duniani kote .Swali je wazungu, waarabu na waasia walizaliwaje au walitokeaje?
KAZI MUHIMU YA VITAMIN D
Vitamin D ni element ambayo inawezesha mwili kufyonza calcium ambayo hutumika kutengeneza mifupa. Hata hivyo moja ya hatua muhimu katika utengenezaji wa vitamin D inahitaji miale ya jua.Kama kukiwa na jua la kutosha mwili hutengeneza vitamin D. Il kwa kuwa jua ni kali san Afrika linaweza kuleta madhara kwenye ngozi na kusababisha kansa, kwa hiyo mwili unatengeneza pigment zinazoitwa melanin ili kuilinda ngozi. Watu weusi ni weusi kwa sababu miili yao ilitengenezwa ili kuendana na jua la Afrika .
Melanini inaruhusu kiwango muhimu cha miale ya jua kupenya na kutengeneza vitamin D kwa ajili ya mifupa na wakati huohuo kuilinda ngozi dhidi ya jua kali .
Wakati mtu mweusi alipowasili ulaya magharibi alikutana na hali ya barafu. Kipindi hicho hata Uswisi ilikuwa barafu tupu. Hiyo zama ya barafu (Ice Age) ilikuwa ni miaka 130,000 iliyopita na kuisha miaka 10,000 iliyopita ilikuwa inaitwa wurm glaciation.Baridi lilikuwa kali mno na jua lilikuwa adimu katika mazingira hayo.
Melanin ilizuia hiyo miale kidogo ya jua kupenya kwenye ngozi na vitamin D ikawa inatengenezwa kwa kiwango kidogo sana .Kutokana na upungufu wa vitamin D uliosababishwa Melanin kulitokea ulemavu na vifo vya mapema (premature death).
Kutokana na tafiti iliyofanywa na Clemens TL na wengine mwaka 1982 na Carolina na Bolina na wengine mwaka 2014, inasema kwamba wazungu wanazalisha sana vitamin D Kuliko watu weusi wakiwekwa katika mwanga wa jua ulio sawa. Matokeo yake ili mwili uweze kusurvive na kuendana na mazingira ikabidi iondoe melanin hasa kwenye maeneo ambayo jua lilikuwa adimu………..itaendelea
Wako: Benjamins
Credit: AHHA (African History,Histoire Africaine)
Hapana mkuu sijawai kufika chuoMkuu umefika chuo?! Kujaza article na uppercase mara nyingi inaelezea kiwango cha elimu cha mtu...
SEHEMU 1: JINSI YA WAZUNGU WALIVYOTOKEA DUNIANI

Ahsante kwa elimu yako nzuri japo mimi nimeshindwa kuielewa.
Mtazamo wangu ni kuwa historia ya binadamu ni ndefu, imepita vipindi vingi mbalimbali. lakini historia hii imeanza kutunzwa pale yalipogunduliwa maandishi, maandishi haya yalisaidia kwa namna moja au nyingine katika kutunza kumbukumbu mbalimbali za wakati ule mpaka sasa. hivyo basi mimi naamini kuwa tangu binadamu amekuwepo duniani mpaka maandishi yalipokuja kugunduliwa ni maelfu ya miaka hivyo historia yetu kama binadamu kabla ya maandishi hatuijui(hata wazungu hawaijui) tumebaki kuhisi hisi tu kwa kutumia vigezo na visababu mbalimbali.
Zamani nikiwa mdogo tuliaminishwa shuleni kuwa binadamu wa kwanza alikuwa nyani lakini kwenye dini tukaambiwa kuhusu uumbaji wa Adamu na Hawa, kadiri siku zilivyosogea na akili kupanuka nikaanza kujiuliza kama binadamu wa kwanza alikuwa Nyani, je na Nyani wa kwanza alikuwa nani?, hapo nilikosa jibu. nikajiuliza tena Je wazungu, waarabu na wa-asia wanafundisha watoto wao hivyo? napo nikakosa jibu (mwenye jibu atanisaidia)
Kiukweli wanzungu wametuzidi akili na sisi tunawaamini mno hivyo wakati mwingine wanapokosa majibu ya baadhi ya maswali hukubaliana kutudanganya na sisi hudanganyika kweli. Kwa maoni yangu ni kuwa vyovyote iwavyo sisi na vingine vyote vimetokana na chembechembe ndogo ziitwazo Atoms na zenyewe zimetokana na nguvu ya asili isiyoonekana. nguvu hiyo ndiyo inaitwa MUNGU asiye na mwanzo wala mwisho pia hachunguziki.
N:B MUNGU HACHUNGUZIKI NDO MAANA MPAKA LEO HAKUNA MWANAHISTORIA ALIYEGUNDUA KABURI LA ADAM NA HAWA NA KIUKWELI KABISA HAKUNA WA KUKUPATIA JIBU LA MOJA KWA MOJA KUWA WAZUNGU, WA ASIA, WAARABU NA WAAFRICA WALITOKANA NA NINI ZAIDI YA BLAH BLAH ZA UTAFITI TU.
Kama hata wanadam weupe walitokana na wanadam weusi mbona hadi leo wanadam weusi bado wapo na hawapotei?