Namna "nzuri" ya kuficha ushahidi

Huo mfano ungeuweka kwenye pombe mkuu, Si wengine Bangi ni mmea uliobarikiwa, Bangi inafungua mlango wa sita wa fahamu......Sema pombe next time, ama chanjo tu kwa kuna shida gani? Ukisema chanjo live?
 
Huo mfano ungeuweka kwenye pombe mkuu, Si wengine Bangi ni mmea uliobarikiwa, Bangi inafungua mlango wa sita wa fahamu......Sema pombe next time, ama chanjo tu kwa kuna shida gani? Ukisema chanjo live?
asante kwa ushauri mkuu. Nikisema hivyo ama post itafutwa au itahamishwa :D
 
Tuseme unataka kujitajirisha
Ukasema kuwa bangi ni nzuri kwa afya
kwenye kijiji chenye watu 300
Kisha ukawagawia watu 50 bangi yako.
Lakini baada ya miezi michache watu 42 wakaanza kumwaga mate kama mazezeta.
Wale ambao hukuwapa bangi watasema, “Mnaona, bangi ni mbaya sana. Hakuna hata mtu mmoja anayetoa uderera ambaye HAKUTUMIA bangi. Wote wanaotoa mate, ni wale waliotumia bangi yako.
KWA HIYO BANGI NI HATARI.

Lakini ukiwapa wanakijiji wote 300 bangi,
Kisha baadaye wanakijiji 110 wakaanza kutoka mate,
Hata mtu akifyatua mdomo kuponda bangi yako,
Utamwambia chochote.

Mfano unaweza kumwambia, “Sio kweli. Mbona watu 190 hawatoi
Uderera? Wewe ni mwongo. Hawa wanaotoa uderera watakuwa walikuwa tu
Na matatizo yao mengine. Lakini bangi ni nzuri tu wala haina shinda.
Wewe ni mchonganishi unatakiwa kushughulikiwa.”

Ndio maana ni muhimu kulisha dunia yote “bangi”
Na ndio maana hawataki uchunguzi ufanywe juu ya
Madhara ya “bangi” yao.
Wanataka uamini kuw ani nzuri tu.
Usiulize maswali.

Je, wajua kuwa zamani sigara zilikuwa zikitangazwa kuwa NI NZURI KWA AFYA YAKO?

View attachment 1951819

Wakaanga sumu hawajaisha. Watatumia your ignorance kujineemesha.
USILALE SANA.
Duh! Ngoja nisubir elimu hapa
 
Back
Top Bottom