Wazalendo unity_official
Member
- Apr 27, 2019
- 22
- 8
Khaaa😂😂😂
Sicheki kwamba n mazuri!!
Khaaa😂😂😂
Pointkama mnatumia blog ukiapload picha moja ya 10Mb ata kama ni kali ukumbuke itakupa shida kwenye page loading na best page loading time inatakiwa iwe ni 3sec sasa kama inafika 10sec ukumbuke Bounce rate itakuwa kubwa na itakushusha sana kwenye SERPs ya Google so muwe nakini alaf ukumbuke unapodownload picha na mwingine nae anachukua hapo hapo so mnacjikuta kila mtu anayo, kinachofuata ni Duplicate content sasa kwenye SEO unajua negative effecta ya duplicate contents.
Adsense hawakubali kiswahili ,Wakuu naomba niulize Google AdSense hawaruhusu lugha ya kiswahili maana Jana nilijiunga nao,nasubiri kuwa approved muda huu wametuma email.kufungua nakutana na lugha zinazoruhusiwa ila kiswahili sijakiona
Hawa wenye blog za kiswahili na wanapata matangazo inakuwaje?
Jamii forum wanatumia Matangazo ya Google ila sio adsense hawa wanatumia Google ADX hz kidogo ni tofaut na adsense na mapato ni makubwa kuliko adsense ila inatakiwa uwe na traffic kubwa.Adsense hawakubali kiswahili ,
Lugha zinakubalika ni hizi hapo 👉 Languages Google publisher products support - Google AdSense Help
Hakuna blog ya kiswahili ambayo yenye matangazo ya Adsense ( Matangazo ya JamiiForum sio Adsense )
kwann unaomba kabla ata kusoma guidlines zao ndio mambo ya kukurupuka alaf ushaharibu ndio unataka upate msaada.Wakuu naomba niulize Google AdSense hawaruhusu lugha ya kiswahili maana Jana nilijiunga nao,nasubiri kuwa approved muda huu wametuma email.kufungua nakutana na lugha zinazoruhusiwa ila kiswahili sijakiona
Hawa wenye blog za kiswahili na wanapata matangazo inakuwaje?
View attachment 1963097
Bro shukran umenijibu ipasavyo haswa na nimejua nifanye Nini.pa1Adsense hawakubali kiswahili ,
Lugha zinakubalika ni hizi hapo 👉 Languages Google publisher products support - Google AdSense Help
Hakuna blog ya kiswahili ambayo yenye matangazo ya Adsense ( Matangazo ya JamiiForum sio Adsense )
Unatakiwa ujibu swali Kama nilivyouliza maana hapo hakuna ulichojibu wala kusaidia,sehemu zingine muwe mnapita tu sio lazima uandike au unahisi umejibu Nini?kwann unaomba kabla ata kusoma guidlines zao ndio mambo ya kukurupuka alaf ushaharibu ndio unataka upate msaada.
Yawezekana kuna changamoto zaid ya ata hyo lugha kwenye blog yako.
Sasa mtu kashatuma maombi ata ukimjibu inavyotakiwa itasaidia nn wakat tayr barua yake ipo kwenye list ya site za kufanyiwa reviews ili zikubaliwe or zikataliwe kwann mtu kabla ya kufanya jambo usitafute ushaur kwanza ili ufanye kwa ufanisi.Unatakiwa ujibu swali Kama nilivyouliza maana hapo hakuna ulichojibu wala kusaidia,sehemu zingine muwe mnapita tu sio lazima uandike au unahisi umejibu Nini?
Ni sawa kaka ila unajua humu sio kila mtu anakuwa anajua vitu,kuna wengi naamini tumejifunza vitu vingi sana humu ndani na hata tumefanya baadhi ya majukwaa kuwa kama darasa kwetu.Sasa jf siku izi kuna baadhi ya watu huwa wanakatisha tamaa baadhi ya watu ambao wanakuja hapa kuomba ushauri ama utatuzi ama kujua vitu mbalimbali,kuna nyuzi nyingi ukiangalia mtu anaweza kuwa serious na jambo fulani akauliza lakini akaambulia majibu ya tofauti kabisa hata akakatishwa tamaa ya kusonga mbele zaid ndio maana nimeshauri ni vyema mtu akiuliza kitu hata kama ameshakosea kumuelekeza na kumfundisha ndio tunazidi kuijenga forum yetu pendwa na hii itasaidia kutusaidia zaidi kuliko kutoka nje ya yale anayouliza muulizaji maana yaweza kuwa akijibiwa vizuri akapata faida kuliko kutoka empty.lakini yote kwa yote tuko pamoja, kila hatua dua,penye makosa naomba tusameheane tu hatujakamilika.Sasa mtu kashatuma maombi ata ukimjibu inavyotakiwa itasaidia nn wakat tayr barua yake ipo kwenye list ya site za kufanyiwa reviews ili zikubaliwe or zikataliwe kwann mtu kabla ya kufanya jambo usitafute ushaur kwanza ili ufanye kwa ufanisi.
Ku-apply sio tatizo ,Sasa mtu kashatuma maombi ata ukimjibu inavyotakiwa itasaidia nn wakat tayr barua yake ipo kwenye list ya site za kufanyiwa reviews ili zikubaliwe or zikataliwe kwann mtu kabla ya kufanya jambo usitafute ushaur kwanza ili ufanye kwa ufanisi.
wingi wa users au visitors .
Changamoto kwny kugundua niche ambazo zitakuwa na traffic kutoka usa. Afu kupata content za kuandika sasaa!Ukita kufanyikiwa google Ad target users nje Tanzania