FREDRICK IHEMBE
Member
- May 6, 2012
- 45
- 1
habar wakuu...nnatambua wazi kabisa u
wezo mkubwa uliomo ndan ya jukwaa hili , nnaombi. moja kwa yeyote mwenye uzoefu na jinsi ambavyo unaweza kufanya namba flan pekee isikupate hewani hata kama upo hewan kwa mtandao wa voda na tigo natanguliza shukran kwa wote mtakaoguswa na thread hii na kunisaidia