*Namna Gani naweza kuosha zuria langu la Manyoya??

CHIBA One

JF-Expert Member
Nov 16, 2018
560
2,087
Wadau, Ningependa kujua mwenye ujuzi juu ya hizi zuria za ndani za manyoya (center carpets) imechafuka sana nahitaji kuisafisha, natumia njia gani??
 
Loweka kwenye maji ya sabuni baada ya muda sugua na brash ukiwa una eneo la kuitandika ili uisugue kama huna peleka carwash
 
Carwash,
O1CN011Se9vivoXCJBXh0_!!1971062271.jpg
 
Back
Top Bottom