Namna English Medium zinavyoua elimu yetu

Aisee ni kweli kabisa mi nimefundisha moja ya shule hizo. Walimu wengi wanaotoka Kenya na Uganda ni form four liver tu but wanafoji vyeti Vya ualimu. Kuna mwalimu alikuwa mgeni akapewa civics kuna siku alinishangaza tulikuwa tunaangalia sherehe za muungano live (nilikuwa nakaa naye) akaniambia nimuonyeshe kikwete....nilichukia sana. Yaani alikuwa hajui chochote
 
Tanzania imejaa watu wengi wenye mtazamo kama yako.
1.hamkubali kuwa kenya na uganda wako mbele kielimul
2.hamkubali kuwa hata watumishi wa kitanzania ni wavivu na wezi ndiyo maana makampuni ya nje inapenda kuajiri wakenya na waganda.
3.kama mnaamini kwa dhati kuwa mko sawa kielimu kwa nini msifanye kama european union raia wa east africa waruhusiwe kufanya kazi kokote bila permit?halafu muone hizo degree zenu za tumaini university mtapeleka wapi?wako poor kwa hata grama.
4.hamkubali baba yenu wa taifa alikuta elimu nzuri kutoka ukoloni akavuruga.
5.viongozi wote wa serikali ya tanzania kwa nini watoto wao hawakuwaacha wasome shule ya kawaida kama walikuwa wanaamini kama nyerere?ulikuwa ukienda st constantine na arusha school unakuta watoto wa vigogo wote from nyerere family,karume,sokoine.kama wakina namelo sokoine,amina na halima karume,kevin na matare nyerere.
6.Tanzania hamna tabia ya kusoma ni porojo nyingi ukipanda basi au treni nchi zenye tabia ya kusoma utakuta abiria karibu wote na vitabu wanasoma,tanzania porojo njia yote.
7.raia wenye uwezo wengi watoto wao wanasoma kenya au uganda na hao ndiyo wako kwenye uhalisia (reality)
8.hizo shule zenu za serikali ya waalimu waliofeli ndiyo inauwa elimu ambayo ina wanafunzi asilimia 95 nchini
Mkuu anachokisema mtoa mada ni kweli tupu kumekuwa na wimbi la vijana wanaotoka nchi hizo ambao hawana sifa kabisa japo wapo wachache wenye sifa mi nimeshuhudia hilo kwa macho yangu...fanya utafiti mkuu
 
kuna watoto wa international school flani hivi ipo Arusha nilishangaa kuona eti hawajui ng'ombe ana miguu mingapi, moja kwa moja ikanipa picha kuwa yawezekana hata ng'ombe mwenyewe hawamjui... inasikitisha sana.
Duh! Ng'ombe! Hatari.
 
kweli kabisa japo sio zote ila nyingi ni chenga sana, hakuna maadili wala heshima kuna mtoto nimekutana nae anajua Good morning tu kwa watu wote, hakuna tofauti hata kwa wazazi
Goodmorning kwa wazazi inakuwa nini?
 
Shule ina gari moja la kubeba wanafunzi mfn 200.

Hapo mtoto lazima aamke saa 11 alfajiri ili kuwahi gari, kurudishwa saa 12 au moja jioni hapo mi home work ya kufa mtu...maana yake ni kwamba mtoto anafanya homework mpk saa 3 au 4 usiku.(HII NI RATIBA YA MTOTO WA DARASA LA 4 HADI LA CHEKECHEA)

Watoto wanakosa muda wa kupumzika kucheza na wenzao..

Kuhusu ubora wa elimu yameishajadiliwa na wadau mengi yana ukweli..

Ombi langu kwa wazazi na walezi tusikimbilie sana hizi shule maana kujua english sio kuelimika
 
Elimu ya mtoto haipati shule au kwa mwalimu peke yake.

Elimu ya mtoto inaanza nyumbani kwa mzazi.

Je, mzazi unakaa meza moja na mtoto kila jioni kumsaidia homework?

Unamzoesha kusoma na kumnunulia vitabu mbalimbali au unamwacha kuangalia TV?

Unampeleka mbuga za wanyama na nyumba za makumbusho ili ajue nchi yake vizuri?

Unaenda na mtoto wako camping milima ya Morogoro ili ajue chakula chake kimetoka wapi, ajue maisha ya wakulima na taabu zake?

Umemnunulia telescope ili awaze kuona nyota na kujifunza na kuona vitu vidogo kama "milky way" ?

Unamchukua madukani ili afahamu hesabati na gharama za maisha?

Unampeleka mtoto maktaba kusoma vitabu mbalimbali au umekusanya nyumbani vitabu mbalimbali ili aweze kusoma vitu mbalimbali zaidi ya masomo yake?

Umemnunulia mtoto darubini ili aone ndege katika miti?

Una tabia ya kukaa na mtoto na kuzungumza vitu kama habari mbalimbali za siku?

Unamwonyesha matumuzi mazuri ya mazingira kama ya kutupa taka sehemu yake?

Umemnunulia mtoto mnyama kama mbwa, kasuku au paka ili ajue jinsi ya kulea kiumbe kwa mapenzi?
 
hiyo kukijuwa kingereza vizuri, ni moja ya mafanikio muhim ktk hilo lengo la kumpeleka mtoto ktk hizo shule, izingatiwe katika hatua ya awali ya elimu (shule ya msingi) kikubwa anacho jifunza mwanafunzi ni kukariri, kwa asilimia 85, vingi anavyo jifunza mwanafunzi msingi anakwenda kuvipata kiundani atapokuwa sekondari
endelea kujidanganya kwa kuwapeleka watoto wako ktk hizi shule za uswazi halafu akienda sekondari anaachwa na wenziwe, siku hizi hao waalim wa sekondari hata namna ya ufundishaji imebadilika wanachukulia kila mwanfunzi anajuwa kingereza.
 
3. Watoto wanakaririshwa kama kasuku.
Ha ha ha! Watoto wenyewe hawana akili wafanyweje wakati wazazi wao wamelipa mamiloni? Hakuna namna sasa. Wacha tu wakaririshwe!
 
Elimu ya mtoto haipati shule au kwa mwalimu peke yake.

Elimu ya mtoto inaanza nyumbani kwa mzazi.

Je, mzazi unakaa meza moja na mtoto kila jioni kumsaidia homework?

Unamzoesha kusoma na kumnunulia vitabu mbalimbali au unamwacha kuangalia TV?

Unampeleka mbuga za wanyama na nyumba za makumbusho ili ajue nchi yake vizuri?

Unaenda na mtoto wako camping milima ya Morogoro ili ajue chakula chake kimetoka wapi, ajue maisha ya wakulima na taabu zake?

Umemnunulia telescope ili awaze kuona nyota na kujifunza na kuona vitu vidogo kama "milky way" ?

Unamchukua madukani ili afahamu hesabati na gharama za maisha?

Unampeleka mtoto maktaba kusoma vitabu mbalimbali au umekusanya nyumbani vitabu mbalimbali ili aweze kusoma vitu mbalimbali zaidi ya masomo yake?

Umemnunulia mtoto darubini ili aone ndege katika miti?

Una tabia ya kukaa na mtoto na kuzungumza vitu kama habari mbalimbali za siku?

Unamwonyesha matumuzi mazuri ya mazingira kama ya kutupa taka sehemu yake?

Umemnunulia mtoto mnyama kama mbwa, kasuku au paka ili ajue jinsi ya kulea kiumbe kwa mapenzi?

If you are a man, please father my child.

If you are woman, you make the best mum.
 
Kwanza naomba mnivumilie wale nitakaowakwaza. Nataka nizungumzie kuhusu elimu yetu ya msingi haswa kwenye hizi English medium schools ambazo tumetokea kuziamini sana.

Hizi shule zinaua elimu ya nchi kwa sababu kubwa zifuatazo.

1. Watoto wanafanyiwa mitihani ya ndani mpaka ya mwisho. Mitihani ya ndani inafanywa na walimu ili kuwaonyesha wazazi kuwa watoto wanafanya vizuri, hii inavutia biashara ya shule. Pia mitihani ya mwisho haswa ya standard 4 na 7 inafanywa chumba cha mtihani yote ni sababu matokeo mazuri yanaitangaza vizuri shule.

2. Walimu wa kigeni haswa Wakenya na Waganda, hawa ni tatizo kubwa sana kwenye elimu yetu, najua hawa watu wa huko ni wazuri sana kwenye lugha ya kingereza hivyo hata wamiliki wa shule na wazazi wanawapenda sana, mwanzoni waliingia kama walimu wa English na science kidogo, ila sasa wanafundisha mpaka somo la kiswahili. Unashangaa mwalimu wa geography kutoka Kenya hajui hata ziwa Manyara lipo wapi, hajui hata kama Tanga ni jiji.

Mwalimu wa civics hajui hata TANU wala ASP, hamjui hata Waziri kawawa. Mwalimu wa history hajui hata Amboni caves ipo wapi. Hapa unategemea nini zaidi ya mtoto asiyejua vitu.

3. Watoto wanakaririshwa kama kasuku.

Matokeo yake ni nini.

Watoto wanamaliza elimu ya msingi wanaongea na kuandika kingereza lakini hawana uelewa kiundani wa mambo mengi. Fanyeni majaribio ya kuwatahini watoto majumbani muone matokeo yake mlinganishe na wanayopata darasani.

Watoto wanapofika secondary schools wanaonekana wameshuka baada ya kuachwa mbali na wanaotoka Kayumba. Kiukweli hawajashuka ila hicho ndio walichovuna huko English medium schools baada ya kulipia mamilion ya pesa.

Mwisho, Naomba Serikali ifanye ukaguzi wa kina kwenye hizi shule japokuwa nyingi ni za wakubwa. Kuna walimu wengi sana sio walimu ila ni waongea kingereza wazuri hawa ndio wanageuka walimu wa kutumainiwa bila kujali content zao.

Hizi ni shule ni bomu ambalo wazazi wengi na Serikali litawalipukia.
Sikatai walimu wengine wanaotoka nchi jirani hawana qualification nzuri lakini pia siungi mkono argument zako. Shule wanafunzi wanafundishwa kwa kutumia syllabus au school curriculum. Hivyo kila somo linakuwa allocated vitabu vya kutumia. Hivyo mwalimu hata kama hajui TANU au Amboni caves anaweza kuandaa somo kwa kutumia vitabu hivyo. Ukitoka nje ya bongo utajua jinsi gani watoto wa shule wako busy. China labda hata chooni hawaruhusiwi kwenda😂
 
Kwanza naomba mnivumilie wale nitakaowakwaza. Nataka nizungumzie kuhusu elimu yetu ya msingi haswa kwenye hizi English medium schools ambazo tumetokea kuziamini sana.

Hizi shule zinaua elimu ya nchi kwa sababu kubwa zifuatazo.

1. Watoto wanafanyiwa mitihani ya ndani mpaka ya mwisho. Mitihani ya ndani inafanywa na walimu ili kuwaonyesha wazazi kuwa watoto wanafanya vizuri, hii inavutia biashara ya shule. Pia mitihani ya mwisho haswa ya standard 4 na 7 inafanywa chumba cha mtihani yote ni sababu matokeo mazuri yanaitangaza vizuri shule.

2. Walimu wa kigeni haswa Wakenya na Waganda, hawa ni tatizo kubwa sana kwenye elimu yetu, najua hawa watu wa huko ni wazuri sana kwenye lugha ya kingereza hivyo hata wamiliki wa shule na wazazi wanawapenda sana, mwanzoni waliingia kama walimu wa English na science kidogo, ila sasa wanafundisha mpaka somo la kiswahili. Unashangaa mwalimu wa geography kutoka Kenya hajui hata ziwa Manyara lipo wapi, hajui hata kama Tanga ni jiji.

Mwalimu wa civics hajui hata TANU wala ASP, hamjui hata Waziri kawawa. Mwalimu wa history hajui hata Amboni caves ipo wapi. Hapa unategemea nini zaidi ya mtoto asiyejua vitu.

3. Watoto wanakaririshwa kama kasuku.

Matokeo yake ni nini.

Watoto wanamaliza elimu ya msingi wanaongea na kuandika kingereza lakini hawana uelewa kiundani wa mambo mengi. Fanyeni majaribio ya kuwatahini watoto majumbani muone matokeo yake mlinganishe na wanayopata darasani.

Watoto wanapofika secondary schools wanaonekana wameshuka baada ya kuachwa mbali na wanaotoka Kayumba. Kiukweli hawajashuka ila hicho ndio walichovuna huko English medium schools baada ya kulipia mamilion ya pesa.

Mwisho, Naomba Serikali ifanye ukaguzi wa kina kwenye hizi shule japokuwa nyingi ni za wakubwa. Kuna walimu wengi sana sio walimu ila ni waongea kingereza wazuri hawa ndio wanageuka walimu wa kutumainiwa bila kujali content zao.

Hizi ni shule ni bomu ambalo wazazi wengi na Serikali litawalipukia.

Labda namba 1 yako ni ya kufanyia kazi lakini kwani hata wa Kiswahili anaweza kufanyiwa mitihani; 2 na 3 hakuna point kabisa i.e. illogical kwa sababu mimi nimesoma mambo katika ngazi zote bila kufika maeneo hayo ya dunia wala kuwaona wahusika. Nafikiri ulivyosema 'kuwajua' una maanisha 'kuwaona au kuwashuhudia'. Mfano, kwenye Historia nimesoma pre-colonial societires wala sikuwa nimezaliwa. Nimesoma vita kuu za dunia na akina Hitler wala sikuwahi kuwafahamu. Haya kwenye Geography nimesoma coffee kulima Brazil wala sijawahi kufika huko. Kagera kwenyewe sijawahi kufika. Physics - laws of motion wakati sijawahi kuonana na Isaac Newton.
 
Inferiority complex inawasumbua...., elimu ya shule za serikali ni mbovu mno ata wewe nauwakika huwezi mpeleka mwanao ..labda kama huna hela
 
Labda namba 1 yako ni ya kufanyia kazi lakini kwani hata wa Kiswahili anaweza kufanyiwa mitihani; 2 na 3 hakuna point kabisa i.e. illogical kwa sababu mimi nimesoma mambo katika ngazi zote bila kufika maeneo hayo ya dunia wala kuwaona wahusika. Nafikiri ulivyosema 'kuwajua' una maanisha 'kuwaona au kuwashuhudia'. Mfano, kwenye Historia nimesoma pre-colonial societires wala sikuwa nimezaliwa. Nimesoma vita kuu za dunia na akina Hitler wala sikuwahi kuwafahamu. Haya kwenye Geography nimesoma coffee kulima Brazil wala sijawahi kufika huko. Kagera kwenyewe sijawahi kufika. Physics - laws of motion wakati sijawahi kuonana na Isaac Newton.

I like your comment 👍
 
Kwanza naomba mnivumilie wale nitakaowakwaza. Nataka nizungumzie kuhusu elimu yetu ya msingi haswa kwenye hizi English medium schools ambazo tumetokea kuziamini sana.

Hizi shule zinaua elimu ya nchi kwa sababu kubwa zifuatazo.

1. Watoto wanafanyiwa mitihani ya ndani mpaka ya mwisho. Mitihani ya ndani inafanywa na walimu ili kuwaonyesha wazazi kuwa watoto wanafanya vizuri, hii inavutia biashara ya shule. Pia mitihani ya mwisho haswa ya standard 4 na 7 inafanywa chumba cha mtihani yote ni sababu matokeo mazuri yanaitangaza vizuri shule.

2. Walimu wa kigeni haswa Wakenya na Waganda, hawa ni tatizo kubwa sana kwenye elimu yetu, najua hawa watu wa huko ni wazuri sana kwenye lugha ya kingereza hivyo hata wamiliki wa shule na wazazi wanawapenda sana, mwanzoni waliingia kama walimu wa English na science kidogo, ila sasa wanafundisha mpaka somo la kiswahili. Unashangaa mwalimu wa geography kutoka Kenya hajui hata ziwa Manyara lipo wapi, hajui hata kama Tanga ni jiji.

Mwalimu wa civics hajui hata TANU wala ASP, hamjui hata Waziri kawawa. Mwalimu wa history hajui hata Amboni caves ipo wapi. Hapa unategemea nini zaidi ya mtoto asiyejua vitu.

3. Watoto wanakaririshwa kama kasuku.

Matokeo yake ni nini.

Watoto wanamaliza elimu ya msingi wanaongea na kuandika kingereza lakini hawana uelewa kiundani wa mambo mengi. Fanyeni majaribio ya kuwatahini watoto majumbani muone matokeo yake mlinganishe na wanayopata darasani.

Watoto wanapofika secondary schools wanaonekana wameshuka baada ya kuachwa mbali na wanaotoka Kayumba. Kiukweli hawajashuka ila hicho ndio walichovuna huko English medium schools baada ya kulipia mamilion ya pesa.

Mwisho, Naomba Serikali ifanye ukaguzi wa kina kwenye hizi shule japokuwa nyingi ni za wakubwa. Kuna walimu wengi sana sio walimu ila ni waongea kingereza wazuri hawa ndio wanageuka walimu wa kutumainiwa bila kujali content zao.

Hizi ni shule ni bomu ambalo wazazi wengi na Serikali litawalipukia.

QUOTE=sonofobia;13309054]Kwanza naomba mnivumilie wale nitakaowakwaza. Nataka nizungumzie kuhusu elimu yetu ya msingi haswa kwenye hizi English medium schools ambazo tumetokea kuziamini sana.

Hizi shule zinaua elimu ya nchi kwa sababu kubwa zifuatazo.

1. Watoto wanafanyiwa mitihani ya ndani mpaka ya mwisho. Mitihani ya ndani inafanywa na walimu ili kuwaonyesha wazazi kuwa watoto wanafanya vizuri, hii inavutia biashara ya shule. Pia mitihani ya mwisho haswa ya standard 4 na 7 inafanywa chumba cha mtihani yote ni sababu matokeo mazuri yanaitangaza vizuri shule.

2. Walimu wa kigeni haswa Wakenya na Waganda, hawa ni tatizo kubwa sana kwenye elimu yetu, najua hawa watu wa huko ni wazuri sana kwenye lugha ya kingereza hivyo hata wamiliki wa shule na wazazi wanawapenda sana, mwanzoni waliingia kama walimu wa English na science kidogo, ila sasa wanafundisha mpaka somo la kiswahili. Unashangaa mwalimu wa geography kutoka Kenya hajui hata ziwa Manyara lipo wapi, hajui hata kama Tanga ni jiji.

Mwalimu wa civics hajui hata TANU wala ASP, hamjui hata Waziri kawawa. Mwalimu wa history hajui hata Amboni caves ipo wapi. Hapa unategemea nini zaidi ya mtoto asiyejua vitu.

3. Watoto wanakaririshwa kama kasuku.

Matokeo yake ni nini.

Watoto wanamaliza elimu ya msingi wanaongea na kuandika kingereza lakini hawana uelewa kiundani wa mambo mengi. Fanyeni majaribio ya kuwatahini watoto majumbani muone matokeo yake mlinganishe na wanayopata darasani.

Watoto wanapofika secondary schools wanaonekana wameshuka baada ya kuachwa mbali na wanaotoka Kayumba. Kiukweli hawajashuka ila hicho ndio walichovuna huko English medium schools baada ya kulipia mamilion ya pesa.

Mwisho, Naomba Serikali ifanye ukaguzi wa kina kwenye hizi shule japokuwa nyingi ni za wakubwa. Kuna walimu wengi sana sio walimu ila ni waongea kingereza wazuri hawa ndio wanageuka walimu wa kutumainiwa bila kujali content zao.

Hizi ni shule ni bomu ambalo wazazi wengi na Serikali litawalipukia.
[/
 
....

Elimu ya mtoto inaanza nyumbani kwa mzazi.

Je, mzazi unakaa meza moja na mtoto kila jioni kumsaidia homework?
....?
Sasa ukizungumza na mzazi mwenye mtoto , na mzazi huyo ni mwalimu wa shule ya msingi ya kayumba; mzazi huyo anakueleza kuwa '....aseii unajua siku hizi mwanangu ananizidi kiingereza....yaani nikiongea naye anasema hapo baba umekosea...'.
anaongeza kusema '.....yaani lazima na mdogo wake nitajikamua, nile matembele tu akasome huko huko english media...'

Hivi unaona mkorogano huo lakini.....!?
 
Nimekuelewa. Pengine mzazi hajapata nafasi ya kufundisha shule nyingine bora zaidi au hana qualifications.

Kitu kimoja muhimu hapo ni kuwa, katika mfano wako, mzazi anajitahidi kumpa elimu bora mtoto wake zaidi ya kwake.

Kujifunza lugha ya kigeni yoyote ni PLUS katika elimu ya mtoto. Kujua lugha za watu ni kujua pia utamaduni, siasa, michezo na vitu vingine vya nchi nyingine. Sioni hasara yoyote, hasa ukizingatia kuwa dunia ya leo ni kijiji kidogo.

Mimi leo naweza kufanya kazi Marekani na Japan kwa sababu najuwa lugha zao na nimesoma kwa lugha zao.

Ningeomba kazi kwa Kiingereza au Kijapani kibovu au elimu yangu ingekuwa ya Kiswahili Medium ningefanikiwa?
 
Back
Top Bottom