Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Tuhisi tu ni hatari kwa afya, unaweza jaribu ukakuta inaongeza nguvu ukashangaa unafyatua saba kwa game moja mkuuSaky..., hata kwa muuza karanga huonjesha kwanza...😛😛😛!!
Tuhisi tu ni hatari kwa afya, unaweza jaribu ukakuta inaongeza nguvu ukashangaa unafyatua saba kwa game moja mkuuSaky..., hata kwa muuza karanga huonjesha kwanza...😛😛😛!!
Mkuu umesahau namna wakoloni walivyokuja hapa, kwanza waliwatuma wapelelezi, kisha wakawatuma wamisionari kuja kutuweka sawa kiroho, halafu ndio wakafika wakoloni wenyewe full. Waarabu walikuja na tasbihi mikononi, tende, shuka, misikiti kisha wakaja na biashara ya utumwa. Wanaojitolea wana sababu ambayo mwisho wa siku ni kwa manufaa yao binafsi au kwa taifa/shirika/kampuni walikotoka.Mkuu kavu, Hapana mpendwa sikubaliani nawe hapo !! Japo wapo wengi wana imani na huruma na kujitolea sana.... HAKI yao tuwape na tuheshimu wale wanaotozwa kodi zao na wanaojitolea mali zao kuja kusaidia kote ulimwenguni !!! (mengine mie sijui) ila ushuhuda wapo wengi wakarimu !!!
Duuh!! Mkuu... hapo tumehitalifiana kbs !! Aisaee kumbe umerabishwa fikra za kisiasa hatari !! Yaani BRAIN WASH ya kizawaa imekuingia na kutawala common sense !! yaani hata kujaji kwa macho yako umeshindwa kujiamaini.... hii hatari mkuu !! Kwa heshima zote za kujitawala miaka 55 !! 'hawa wanaSiasa wanajua kupamba hotuba zao... japo matendo zero!!Mkuu umesahau namna wakoloni walivyokuja hapa, kwanza waliwatuma wapelelezi, kisha wakawatuma wamisionari kuja kutuweka sawa kiroho, halafu ndio wakafika wakoloni wenyewe full. Waarabu walikuja na tasbihi mikononi, tende, shuka, misikiti kisha wakaja na biashara ya utumwa. Wanaojitolea wana sababu ambayo mwisho wa siku ni kwa manufaa yao binafsi au kwa taifa/shirika/kampuni walikotoka.
Hilo nalo kweli kbs !!Tuhisi tu ni hatari kwa afya, unaweza jaribu ukakuta inaongeza nguvu ukashangaa unafyatua saba kwa game moja mkuu
Mzee wangu uko mbali sana na ukweli wa mambo, baada ya vita baridi kufa hata hiyo misaada ya wazungu unayosema wewe ilipungua sana, makanisa yakakosa misaada kutoka kwa wazungu waumini wakaanza kujitegemea wenyewe, hakuna mitumba na viatu vizuri tena makanisani kama zamani, hospitali za wazungu zikafa waswahili wakaachwa waendelee wenyewe hakuna mabuluga tena, maaskofu na mafather wa kizungu wakaanza kutoweka taratibu kumaanisha tena hakuna hatari ya ucommunist tena baada ya soviet kuanguka ambao ndio ililazimisha majasusi wajifiche kwenye misaada yako unayosema. Mzee inanua kichwa chako tazama mbele utauzwa, no free lunchDuuh!! Mkuu... hapo tumehitalifiana kbs !! Aisaee kumbe umerabishwa fikra za kisiasa hatari !! Yaani BRAIN WASH ya kizawaa imekuingia na kutawala common sense !! yaani hata kujaji kwa macho yako umeshindwa kujiamaini.... hii hatari mkuu !! Kwa heshima zote za kujitawala miaka 55 !! 'hawa wanaSiasa wanajua kupamba hotuba zao... japo matendo zero!!
hatujafikia hata asilimia 5% za neema walizoeka wakoloni humu.... hadi hii leo miundombinu na ustaarabu tuutumiayo ni za wale jamaa.... Pole yetu Mkuu!!!
Mie nashindwa kuelewa kwani upungufu wa nguv za kiume ni nin mkuu..Aisaee watoto saba .. bado baba anadai upungufu wa nguvu ?!!!
Aisaee nimekuelewa mkuu..., ila elewa hii " Vitu ni vya mzungu, na Dunia ni ya Mungu"Mzee wangu uko mbali sana na ukweli wa mambo, baada ya vita baridi kufa hata hiyo misaada ya wazungu unayosema wewe ilipungua sana, makanisa yakakosa misaada kutoka kwa wazungu waumini wakaanza kujitegemea wenyewe, hakuna mitumba na viatu vizuri tena makanisani kama zamani, hospitali za wazungu zikafa waswahili wakaachwa waendelee wenyewe hakuna mabuluga tena, maaskofu na mafather wa kizungu wakaanza kutoweka taratibu kumaanisha tena hakuna hatari ya ucommunist tena baada ya soviet kuanguka ambao ndio ililazimisha majasusi wajifiche kwenye misaada yako unayosema. Mzee inanua kichwa chako tazama mbele utauzwa, no free lunch
Kweli kabisa mzee unachosema, majengo ya shule za mkoloni bado yapo lakini majengo tuliyojenga sisi miaka ya 1990's yameshaanguka na mengi yana nyufa, lakini ni lazima ukumbuke namna ya majengo na barabara za mkoloni zilivyojengwa na namna haya ya kwetu yanavyojengwa. Ukumbuke kuwa vibarua waliojenga majengo na reli wakati wa mkoloni ni hawahawa wanaojenga majengo na barabara zetu baada ya uhuru ambazo zinabomoka baada ya miazi 6 tu kukamilika. Tatizo liko kwenye usimamizi, elimu tunayopewa, na uchumi wetu. Ujira wa kibarua wakati wa mkoloni ulikuwa unamtosheleza kibarua kula, kuvaa, kwenda densi na sinema, na kukodi landrover hadi kijijini kwao kusafirisha yeye, mkewe na watoto wake wakati wa likizo na kurudi tena mjini likizo ikiisha, vibarua walijengewa nyumba za kulala hata kama nyingine zilikuwa za chumba kimoja na zipo hadi leo kwenye mashamba ya mkonge, reli, viwandani, polisi, kambi za jeshi, n.k. Adhabu wakati wa mkoloni kwa anayevunja sheria zilikuwa kali na za hapo kwa hapo, watu walikuwa wakilipa kodi wote kwa nguvu, watawala walikuwa wanafanyakazi kwa malengo ambayo wamepewa na kuripoti kwa Malkia/mfalme huko ulaya ambayo lazima ayafikie. Tatizo ni kwamba tumeruka step nyingi sana za maendeleo ambazo wazungu walipitia. Wenzetu walipigana sana wenyewe kwa wenyewe, walidhulumiana sana hadi kila mtu akashtuka na kuamka, waliendelea kielimu na kiteknolojia hatua kwa hatua polepole. Mzee sisi hapa kabla hata hatujaweza kutumia type writer vizuri tukarukia computers, kabla hatujaifahamu windowa 95 vizuri tumesharukia windows 10, n.k. Watawala wetu ni wezi wa mali za umma kiasi cha kushindwa kuwaadhibu watendaji wezi. Viongozi wetu hawana sifa za kufanya kazi tunazowapa. Lakini kubwa sana ambalo lazima ulifahamu ni kuwa wakoloni waliondoka lakini hawakuondoka, bado wanamiliki malighafi zetu, nguvu kazi zetu, masoko, teknologia, mitaji na siasa zetu. Hakuna cha kufanya, very sad, wazungu wanashirikiana na watawala wetu wenyewe wezi kutuibia.Aisaee nimekuelewa mkuu..., ila elewa hii " Vitu ni vya mzungu, na Dunia ni ya Mungu"
Ulivyovitaja vyote viliharibiwa na kuibiwa na kuchakachuliwa na wazawaa.... Pole sana hatujui kutunza kitu... Wee ona au jaribu utazme miradi na majengo yote tuliyojengewa na kupewa na Mzungu ipojee, kwa sasa kwisheein !!! masikini wee...
Ahssssssnatteee sana.. nimekukubali Mkuu Nashukuru !!!Kweli kabisa mzee unachosema, majengo ya shule za mkoloni bado yapo lakini majengo tuliyojenga sisi miaka ya 1990's yameshaanguka na mengi yana nyufa, lakini ni lazima ukumbuke namna ya majengo na barabara za mkoloni zilivyojengwa na namna haya ya kwetu yanavyojengwa. Ukumbuke kuwa vibarua waliojenga majengo na reli wakati wa mkoloni ni hawahawa wanaojenga majengo na barabara zetu baada ya uhuru ambazo zinabomoka baada ya miazi 6 tu kukamilika. Tatizo liko kwenye usimamizi, elimu tunayopewa, na uchumi wetu. Ujira wa kibarua wakati wa mkoloni ulikuwa unamtosheleza kibarua kula, kuvaa, kwenda densi na sinema, na kukodi landrover hadi kijijini kwao kusafirisha yeye, mkewe na watoto wake wakati wa likizo na kurudi tena mjini likizo ikiisha, vibarua walijengewa nyumba za kulala hata kama nyingine zilikuwa za chumba kimoja na zipo hadi leo kwenye mashamba ya mkonge, reli, viwandani, polisi, kambi za jeshi, n.k. Adhabu wakati wa mkoloni kwa anayevunja sheria zilikuwa kali na za hapo kwa hapo, watu walikuwa wakilipa kodi wote kwa nguvu, watawala walikuwa wanafanyakazi kwa malengo ambayo wamepewa na kuripoti kwa Malkia/mfalme huko ulaya ambayo lazima ayafikie. Tatizo ni kwamba tumeruka step nyingi sana za maendeleo ambazo wazungu walipitia. Wenzetu walipigana sana wenyewe kwa wenyewe, walidhulumiana sana hadi kila mtu akashtuka na kuamka, waliendelea kielimu na kiteknolojia hatua kwa hatua polepole. Mzee sisi hapa kabla hata hatujaweza kutumia type writer vizuri tukarukia computers, kabla hatujaifahamu windowa 95 vizuri tumesharukia windows 10, n.k. Watawala wetu ni wezi wa mali za umma kiasi cha kushindwa kuwaadhibu watendaji wezi. Viongozi wetu hawana sifa za kufanya kazi tunazowapa. Lakini kubwa sana ambalo lazima ulifahamu ni kuwa wakoloni waliondoka lakini hawakuondoka, bado wanamiliki malighafi zetu, nguvu kazi zetu, masoko, teknologia, mitaji na siasa zetu. Hakuna cha kufanya, very sad, wazungu wanashirikiana na watawala wetu wenyewe wezi kutuibia.
Ndugu yangu hata majogoo, mabeberu ya mbuzi, madume ya ng'ombe lazima yapigane kwanza ili ajulikane nani mbabe ndipo mambo mengine yainde sawa kundini. Hiyo sio kanuni ya kavulata bali ni kanuni ya maendeleo (dielectric materialism), angalia hata tofauti iliyoko kwenye kufikiri kati ya mtoto wa kambo anayeteswa na kunyimwa baadhi ya matumizi nyumbani na watoto baba na mama wanaopendwa na kupewa kila kitu wanachokihitaji. Angalia maendeleo na mafanikio ya jamii zinazotoka mikoa yenye baridi, ardhi ya kugombania na maisha magumu ukiwalinganisha na jamii zinazoishi sehemu zenye ardhi bwelele, joto, na raha. Hata kwenye familia yako kama maisha yatakuwa rahisi sana na upendo uliokidhiri watoto watakuwa maboya tu utake usitake. Watu ukiwapiga mabomu ya moshi kila wakati iko simu watayazoea na kutafuta namna ya kupambana na hali hiyo tu, na mtu anayepigwa sana na wenzake mtaani iko siku atajifunza namna ya kuishi mtaa huo, nk nk nkAhssssssnatteee sana.. nimekukubali Mkuu Nashukuru !!!
( ila nasikitika na kuhuzunika kwa namna ya kutesana sisi kwa sisi basi hilo tu )
Be blessed Tanzania yetu.
Huyo dogo aliyemdandia dingi ake shingoni kafanana na Lemutuz akiwa mdogo