Namna chandarua kinavyoua nguvu za kiume

Namna chandarua kinavyoua nguvu za kiume

Kwa hali hii ni vema Mom akashauriwa asishushe chandaruwa hadi game iishe, kwanza wakati wa game hakuna mbu anayeweza sogea.........
 
Kwa hali hii ni vema Mom akashauriwa asishushe chandaruwa hadi game iishe, kwanza wakati wa game hakuna mbu anayeweza sogea.........
kama ana kitanda kipana ni heri waweke mito mingi laini pembeni kuzuia chandarua hii isigusane na mwili wakati wa kujigeuza na kuhangaika kitandani.
 
Hapana mkuu, Niya yao ni kupunguza idadi ya umma kuzaa kwa wingi !!!
Lkini mkuu, kuna tofauti kati ya nguvu za kiume na uwezo wa kuzaa. Mara nyingi ukisikia nguvu za kiume ni kitendo cha mtu kuhimili tendo kwa muda mrefu kama nusu saa vile, kitendo cha mtu kutumia dakika 5 na kumaliza kazi ndo kinaitwa upungufu wa nguvu za kiume, lakini katika kutunga mimba, hata dakika moja inatosha kutoa hapa macha sita !!
 
mimb

mimba haihitaji nguvu kutunga isimame tu na kuweza kutoa manii
harufu ya dawa ile, chafya nyingi, kuchomwa na mikwaruzo mgongoni kusimamisha ni kitendawili na mashaka matupu
 
Wazungu hawana kitu cha bure hata siku moja!! kwao kuna give and take....!!!, scratch my back I scratch yours!!!
Mkuu kavu, Hapana mpendwa sikubaliani nawe hapo !! Japo wapo wengi wana imani na huruma na kujitolea sana.... HAKI yao tuwape na tuheshimu wale wanaotozwa kodi zao na wanaojitolea mali zao kuja kusaidia kote ulimwenguni !!! (mengine mie sijui) ila ushuhuda wapo wengi wakarimu !!!
 
010fb8f1a1134d25103feeac898b249a.jpg
tetehehehe
 
Back
Top Bottom