Namna bora ya kukata roho

Hahahhaa, dini bana zinavojaribu kujinasibisha na sayansi ni vichekesho! Huo mchoro hapo juu sjuwi umetoka kwenye kitabu gani cha dini!
 
Hahahhaa, dini bana zinavojaribu kujinasibisha na sayansi ni vichekesho! Huo mchoro hapo juu sjuwi umetoka kwenye kitabu gani cha dini!
Mchoro upi huo

Jr[emoji769]
 
Nami ntatoa ushuhuda wa meditation hii kitu ni kweli aisee ila sio hii ya mshana jr, hii inatisha
Hapo kwenye red hujasema kweli.......kwani utakapokuwa kaburini Ufahamu wa kiroho utakuwa nao ili ujue baada ya hukumu utakuwa wa upande gani kati ya pepo au moto na hapo ndipo kilio na kusaga meno hutokea....................

Hujanielewa rudia kusoma tena
 
Nipe nukuu toka kwenye biblia
 
Mkuu no dought wewe ni mystic maana naona unamwaga esotoric teachings wachache tunaotambua uwepo wa ulimwengu usioonekana Ambao ni beyond Human rasoning huwa tunakusoma vema
[emoji115] [emoji817] [emoji781] [emoji779] [emoji276]

Jr[emoji769]
 

Biblia inasema wafu wako wapi???

Mwanzo 3:19 .... kwa maana u mavumbi na mavumbini utarudi

NB; wafu wapo mavumbini haijalishi walitenda mema au mabaya

Mhubiri 9:5 .....lakini wafu hawajui neno lolote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa
NB; wafu hawajui chochote wala hawana kumbukumbu wala mawazo yoyote

Zaburi 115:17 ''Sio wafu wasimfuo BWANA, wala wowote washukao kwenye kimya''
NB: wafu hawana mawasiliano yoyote na Mungu wanaowaombea ama kuomba kupitia majina yao ni kumkosea Mungu kwa kuikataa sadaka ya Kristo (Wafilipi 2:10)

Zaburi 143:4 Pumzi yake hutoka, huurudia udongo wake, siku hiyo mawazo yake yapotea

Mhubiri 9:10 Lolote mkono wako utakalolipata kulifanya, ulifanye kwa kwa nguvu zako; kwa kuwa hakuna kazi, wala shauri, wala maarifa, wala hekima, huko kuzimu uendako wewe

Huo ndio muongozo kulingana na biblia hivyo ukisema wafu wanauelewa huo ni mtazamo wa wengi ila kiuhalisia sio kweli kwa yeyote anaeamini biblia ndio muongozo toka kwa Mungu
 
Point yako ni ipi mkuu
Kwamba mshana is wrong au wewe ndo uko sahihi?
 
mzee mbaba mshana huwa naelewa sana nyuzi zako ila kwa wale ambao wanadhani kuwa mambo ya meditation ni uchawi nadhani wamelost inabidi wajitafute tena ili tuweze kwenda nao sawa hapa. 😀🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…