MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,202
- 1,229
Hapo kwenye red hujasema kweli.......kwani utakapokuwa kaburini Ufahamu wa kiroho utakuwa nao ili ujue baada ya hukumu utakuwa wa upande gani kati ya pepo au moto na hapo ndipo kilio na kusaga meno hutokea....................Si kweli huu ni upotoshaji wa shetani ili watu wengi wapotee na wasiende mbinguni na wasimtumainie Mungu
Duniani kuna nguvu mbili tu ya Mungu na ya shetani yaani ya wema au ubaya
Ili kwenda mbinguni inakubidi uwe chini ya nguvu ya Mungu na hakuna yeyote anaeweza kwenda kwa Mungu bila kujitoa kikamilifu kwake na haikuhitaji kufanya chochote cha ziada ili kuwa kwake ila kila kitu kimeshaandaliwa kwa wote wanaokubali kumtii
Hayo mengine ni mbinu za shetani kuwapa watu matumaini ya uongo ili waweze kujitumainia wenyewe na mwisho wafe ktk dhambi zao na kuangamia ktk moto siku ya hukumu
Kwa mujibu wa biblia mtu anapokufa anarudi ktk hali aliyokuwa nayo ya kutojifahamu kabla hajazaliwa hadi atakapofufuliwa tena kwa ajili ya hukumu ndipo atakapopata tena fahamu na kwenda motoni au mbinguni kupo chini ya Mungu yaani siku ya hukumu tambua hakuna binadamu ama roho yoyote inayoweza isaidia roho nyingine kwenda popote pale mbinguni ama motoni hizo ni porojo za shetani
Mshana jr huyo hayupo sahihi hata kidogo hebu soma post yangu namba 83 hapo juu.......KABURI kwa maana ya kwamba mwili haupo katika Uso wa Aridhi wala katika Uwanja wa hukumu........Bila kujali umeliwa na wanyama, umeyeyuka kwenye Acid, umeungua moto, umefukiwa chini ya Aridhi nk...............Huko uliko ndiko KABURINI kwako.............Kwa muktadha wa Bible takatifu uko sahihi kabisa na nakubaliana nawe kwa asilimia mia moja lakini dunia hii ni zaidi ya uijuavyo
Kuna imani nyingi kuna dini nyingi na nyingine ni za ajabu hasa.... Nakushauri jifunze tu ujue lakini si lazima uamini au u practice... Mungu akurehemu
Jr[emoji769]
Hivi umesema uliingia ulimwengu wa roho kimyakimya?
Duh.
You are a very complicated man.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji780] [emoji780] [emoji780] [emoji780]Uzi wa manilla
Jr[emoji769]
Yeah mimi babu yangu mmoja alikufa wiki nzima.... Hivyo vitu ni madawa ya kienyeji ya kuwapa nguvu ni mabaya sana inapofika hatua ya kukata rohomshana jr kuna kisa nimekutana nacho siku chache zilizopita kuna mzee aligoma kufa ikafika hatua wakawa wanamuombea afe...yaani yuko kitandani muda mrefu..wakimpeleka hospital wanaambiwa mrudisheni tu nyumbani..
Kilichonishangaza ni kwamba eti hawa wazee wa zamani kuna vitu walikua wanameza ambavyo vinawafanya hii process unayoizungumzia hapa kuwa ngumu kwao..hii imekaaje..
Duuuuhh katika siku ambazo hujaeleweka na SIJAKUELEWA KABISA ni leo,
1. kumsaidiaje? kuifukuzia roho irudi? kuikamata? napata maswali mengi yasiyo na majibu kabisaa, HOW?
2. Kama ndi hivyo hata roho ya TAL unaweza kuiona saiv inafanyaje
yaana yanakuja maswali mengi yasiyo na majibu
Jibu hili hapa[emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Muhubiri 8:8
8 Hakuna mwenye uwezo juu ya roho aizuie roho;
Wala hana mamlaka juu ya siku ya kufa;
Wala hakuna kuruhusiwa katika vita vile;
Wala uovu hautamwokoa yule aliyeuzoea.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] sina vinasaba nao! Lakini hata siku nikienda sisemiKwanini siku usiamue kwenda ikulu kiroho kumuangalia Ankali huwa anafanya nini? au DAB hata waliocheza movuie pale DODOMA unaweza kuwajua pia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sina vinasaba nao! Lakini hata siku nikienda sisemi
Jr[emoji769]
Jr[emoji769]