Namna bora kumkosoa Namba moja !!!!!!

mzeenyoka

Member
Apr 28, 2019
77
52
Toa ushauri tu
Unajua hata sisi tungekuwa viongozi hatuwezi kukubari kukosolewa kwa kutukanwa ,kudharirishwa turejee ktk familia zetu hazina hata watu kumi!!!
Mfn Mke au mtoto akaoa maneno machafu
 
Nipeni ushauri namna bora ya kumkosoa Namba moja kistaraabu bila yy kukasilika na wapambe zake wakanitazama vizuri kama mzalendo Wa Taifa

Msisahau kunasheria ya mtandao,uchochezi nk.
Njia nzuri ilikuwa bungeni. Lakini bahati mbaya nalo liko mfukoni na ndiko wanataka kwanza asifiwe.
 
Write your reply...Wewe sema unavyojisikia hakuna cha kupoteza, Haya ni maisha tu wote tupo safarini.
 
Write your reply...Wewe sema unavyojisikia hakuna cha kupoteza, Haya ni maisha tu wote tupo safarini.
Kunasheria ya mtandao Mkuu,uchochezi unajua hata ww unhekuwa kiongozi huwezi kukubali kukosolewa kwa kudharirishwa mkuu
 
Toa ushauri tu
Unajua hata sisi tungekuwa viongozi hatuwezi kukubari kukosolewa kwa kutukanwa ,kudharirishwa turejee ktk familia zetu hazina hata watu kumi!!!
Mfn Mke au mtoto akaoa maneno machafu
Ushawahi kuitwa kilaza??!!! Kilaza anaweza ishauri PhD feki....jifunze kwa Mkuu Ziro......
 
ofisi ya umma sio familia! sisi sio wajomba na ndugu zake sisi ni wananchi, kama hawezi kuvumilia ukosoaji wenye maneno makali basi ni wazi kuwa bado hajakomaa na hatoshi kushika hiyo ofisi, arudi nyumbani akaabudiwe na familia yake.
 
Kunasheria ya mtandao Mkuu,uchochezi unajua hata ww unhekuwa kiongozi huwezi kukubali kukosolewa kwa kudharirishwa mkuu
Mbona yeye anadhalilisha watanzania wenzake kila siku na haombi msamaha, kwanza ndio anajisifia. Mfano " Sinilikutukana kwenye simu pumbavu? Au unabisha?" Ikiwa mnayemtetea yeye anafanya hayo hayo, sielewi hao wengine nani anawatetea kwa kumwambia yeye kwamba nasi tunakereka na matusi yake?!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom