Namkosa sana Shekhe Yahya Hussien

nguvumali

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2009
Messages
4,891
Points
1,250

nguvumali

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2009
4,891 1,250
Katika kuadhimisha Idd el Fitr kama hii, nimemkumbuka Sana Shekhe Yahya Hussein mkazi wa zamani wa Magomeni Mwembechai aliwahi kunukuliwa kuwa Ramadhan ya mwaka 2009 katika Taifa zima la Tanzania walifunga kwa maana ya kufunga walikua Waislamu 2(wawili) tu wengine woote walikua wanashinda njaa tu.Hakufafanua alikua anatumia njia gani kutambua Hilo.
Sijui angekuwa hai mwaka huu angesema Waislamu wangapi tulifunga, Namkosa sana Shekhe Video na Tabiri zake.