Namfikiria aliyekula hili dili

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
0001.jpg ....................
 
Kuna mtu anapokea ten percent ya hilo deal hapo kila mwezi hebu jiulize ni tumilioni tungapi
 
then wanalilia misaada kila siku

Wanatembeza bakuli la kuomba
Serikali inailipa IPTL na then IPTL inaiuzia Tanasco umeme ambalo ni shirika la serikali hiyo hiyo na then tanesco wanamuuzia umeme mwananchi wa kawaida
ushaona wapi serikali inatoa pesa kujinunulia kitu yenyewe
 
na sisi tumenyamaza kimya na kura tunawapa kila term...wanatugea kofia na t shirt..ndio maana wazungu wanatudharau na kututaka tuhahalishe ushoga sasa sijui hao mashoga watafungishwa ndoa na nani ..usishangae likaibuka kanisa ambalo linafungisha ndo za mashoga na wazungu wakalikingia kifua ..
 
Yaani mkuu with mooney every thing is possibe
Utashangaa yanaibuka makanisa na misikiti ya ajabu ambayo wako radhi kufanya lolote mradi wana ufadhili kutoka nje na pesa za wazi ziko nje nje
Tutanyonywa mpaka mwisho maana viongozi tulio nao hawana vision wala hawajui wanafanya nini juu ya rasilimali tulizo nazo
 
Wanatembeza bakuli la kuomba
Serikali inailipa IPTL na then IPTL inaiuzia Tanasco umeme ambalo ni shirika la serikali hiyo hiyo na then tanesco wanamuuzia umeme mwananchi wa kawaida
ushaona wapi serikali inatoa pesa kujinunulia kitu yenyewe

Tanzania :washing:
 
Back
Top Bottom