Namfagilia mhe mama Salma Kikwete

Namfagilia mhe mama Salma Kikwete

....Dah! Mkuu, Tafadhali chukua TANO! Ina maana huyu mpiga debe alipokuwa akitaja wale 'Kaj*mba nani' wenzetu kwenye post yake ya nyuma, haya majina ya hawa magogo alikuwa ameyasahau???

Mada yangu haikuwa inawanzungumzia wajumbe wa Bodi, nilikuwa nafafanua tuhuma za kwamba F/Lady amewaweka ndugu zake kwenye Taasisi yake na pia wa dini yake , ndio nikatoa data hizo ambapo wadau mnaonekana kukosa uelekeo baada ya hoja hizo za maamluki na baadhi ya vyombo vya habari kukosa mshiko. Niliowataja wala sio akina kajamba nani wenzenu ni watu wenye taaluma zao , wanaudhoefu wa kufanya kazi kwenye Taasisi mbalimbali za kitaifa na wameenda shule wapo pale kikazi zaidi. Kama nyie ni kajambanani poleni sana, mlikimbia umande nini ?
 
Back
Top Bottom