FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,890
- 109,222
Na wewe unaangaliaga hizi?
Miaka mingi sana iliyopita nilikuwa nasoma comics zake.
Na wewe unaangaliaga hizi?
Used to have Asterix somewhere in soft copy anyway sasa hivi ninazo Tintin give me some time will find asterix as well
Ngoja nivishushe hapa ila kwa ushauri download haraka na kaa navyo kwenye soft copy haya mambo online huwa yana tabia ya link kupotea/kuzibwa..
Am so so happy, thank you very much.
Miaka mingi sana iliyopita nilikuwa nasoma comics zake.
Ni lazima mtumie lugha za watu?
hahaha. karucee huyo tintin nimemuona ukubwani kwenye animation. mi nimekulia androko na simba na adili na nduguze.Eli79, Mndengereko, utafiti, kadoda11, Red Giant, SHIEKA.... Munaniangushaaaaa.
Don't you know these characters?
Hata wewe OLESAIDIMU?