sasa kwanini umehama chumba, nakushauri kitu kigumu sana, narudia kitu kigumu maana najua kama huna moyo wa Ujasiri hutaweza, nasema hivi, RUDI CHUMBANI KWAKO, MPENDE MUMEO, MPE CHAKULA CHAKE MLE WOTE maana kwa kufanya hivyo utamuumiza sana yeye, atajiona mjinga, atajutia japo hata seamu ya ma kwa sauti ila vitendo vitadhihirisha. <br><br>Kwa kutengana nae ndio umempa sababu ya kuendeleza ujinga wake, una risk maisha yake na ya kwako pia, nielewe Mama ni ngumu lakini badala ya kumchukia wewe jitahidi kumpenda, muulize tatizo ni nini, inaweza kukusaidia ila kumbuka wanadamu ni WAFARIJI WATAABISHAJI, nitaku=PM tushauriane vizuri