Mwanamke wala sio wanawake, utamkaribisha nyumbani kwako muda ukifika, hujaxhelewa wala hujakosa lolote na zaidi umeepushwa na uzinzi. Umeelimika, jiimarishe kwa maisha yako, ya Mzee mwachie mwenyewe.Hata kama bado namchukia tu! Nyumba mbovu halafu ... Sitaki niendelee, nisije tukana.
Samahani sana!Niheshimu mimi ni sawa na babako pumbavu wewe.
Elewa thread, nimekuambia hashindwi kukarabati ila anasema hataki na amechagua kuwa hivyo, nakumbuka tulipojenga choo kipya cha kisasa, kile kingine hakutaka kibomolewe(kilikuwa cha nyasi), sasa hizi si aibu hizi?Pesa aliyotumia kukusomesha we mpuuzi ilitosha kumalizia nyumba yake,we una laana
Ufala upi wakati ndio uhalisia? Sasa si mpaka uwe na hiyo bunduki? Au unamaanisha kalamu ya risasi??Mtoto Kama wewe ungekuwa wangu ningekupiga risasi, yaan nijinyime kukupa elimu,halafu uniletee ufala
Nyie wa kishua mnajifanya mnajua sana kuponda, kisa mmelelewa mambo safi na hamjui shida sio??ni vizuri pia ukimsaidia kurekebisha, utapata baraka
Angalau umenena vizuri, sio hawa wa kishua wanaotukana hapa. Idiots kabisa!Hahah, umenikumbusha kitu, mimi nilipopata pesa tu, cha kwanza nikaemda kukarabati sebule na dining area, piga gypsum kila mahali, urembo wa kila aina, maana palikuwa pananitianhasira toka mdogo, nashindwa hata kukaribisha marafiki zangu [emoji28][emoji28][emoji28], hadi naondoka nilipaboresha sana
Wewe wa ushuani Masaki huwezi kuelewa hiiKwa akili zako wewe utakuwa ni mjinga mmoja ambaye hata elimu uliyopata haitakaa ikusaidie maishani mwako.
Unalilia nyumba yenye sakafu wakati familia inaangaliwa na mkono wa mtu mmoja.
Nyie watoto msokuwa na soni wala shukrani, huenda hata mzee anavaa nguo zenye viraka wewe unataka sakafu ya kupeleka mademu,
Umeshindwa nini kubadili hali ya familia? Umesomechwa ili usaidie nini, heri hata wale ndugu zako walioshindwa kuendelea na shule.
Jiheshimuni nyie watoto.
Tulikotokea hata kwa huyu dogo ni ulaya, wazazi walipambana na wale wakubwa zetu walisaidia kubadili maisha ya kule nyumbani piaWewe wa ushuani Masaki huwezi kuelewa hii