Namchukia mzee wangu!

Wewe uneshajenga yenye sakafu au Mafanikio yako ni hii tecno unayoitumia?
 
What have you done/achieved so far? What have you done differently from your father? What have you done for your family?
 
Huyu jamaa mjinga kabisa.
 
Umeandika ujinga.....wew ni mjinga....issue ni kwamba wew na mzee mmepishana concept... ..

Mimi ningekua wewe ningechukua izo challenges.... ningezitumia kama motivation ili kufanikiwa au kutimiza malengo...

Mm Huwa nafanikiwa Sana kwenye negativity....

Nimeishi ku prove wrong any negativity against me.....
 
Show him you can do way better than him. Sio unalalamika tu. Anza kwa kujenga hiyo dream house kwanza.
 
Jiga sana veve.
 
Ni heri angekutoa kafara tu ili apate utajiri wadigo zako waishi vizuri
 
Kama ni kweli hautafika mbali hata kidogo, mzee alipigana akakulipia ada ukasoma na ndg zako, Leo unaonekana unaanza kufanikiwa kiduchu tu unamwanika baba yako namna hii, hata kama ni mpagani kabisa mwombe baba yako msamaha tena kutoka ndani ya moyo kbs, hatari iko mbele yako tena mbaya,
Mzazi ni mzazi awe tajiri, maskini, kilema au vyovyote, ndio aliyekuzaa,

Aliuza vingi na kujinyima vingi kwa ajili ya watoto wake Leo wanamnyea juu ya kichwa chake na kumwona hakufaa kuwazaa???

Nikupe mfano mdogo tu, sikuombeinma Aya hata kidogo lakini fikiria, huwa Kuna mambo yanatokea tu kwa mtu mfano kesi, kufukuzwa kazi, kuumwa kusikoweza kufanya lolote na kuwa mtu wa kusaidia kwa kila kitu, hao marafiki ambao unawaonea aibu ndio watakuhudumia???
Na note this, bahati mbaya ukifariki hao marafiki zako watakusindimiza kwa baba yako hapo kwenye halo kajumba la vumbi na watakuaacha hapo, baba yako ndio atakuwa na uchungu wote, wenzio wataweka shada la maua na kusema lala salama comrade na watapiga na selfie baada ya hapo wanapotea,
Fikiria mara 22, thamani ya baba yako itaonekana hapo atakapofariki, na hautakiwa na muda wa kumwomba msamaha,
Leo ujenge kibanda tu na kununua kisuzuki, unamwona dingi fala??? Nyumba ambayo inaweza pata ajali ya moto ukapukutika humo, gari ambayo unaweza kupata ajali miguu yote wakakata, nini ujivunie?? Mwanadamu ni maua tu

Apandacho mtu ndicho atakacho vuna, Nina uhakika umemdhalaulisha sana mzee wako kwenye jamii yako inayokuzunguka,
maana huna uwezo wa kumtambulisha kwenye jamii,

Shukuru kwa mzee wako kukukuza na Leo unaonekana maana alikuwa na uwezo kabisa akupeleke kuchunga ng'ombe au kuwa kibarua kwa watu na hii shule usiipate maana unaonekana kuwa tegemezi hadi ukiwa mtu mzima mwanachui mtarajiwa ambaye anajua home mzee hana uwezo mkubwa ila anakaa nyumbani kusubiri hela ya nauli na mengine huku akila stori kiniweni kwamba anaenda chuo

Kifupi wewe ni hasara, Kaa tafakari tena maisha yako, la sivyo muda ni mwalimu na Mungu atulinde na kutupa afya njema
 
"Eeee Mungu baba saidia hii mbwa lalamishi"
Ina lalamika ilishindwa kuleta Dem nyumbani kwa baba yake kisa nyumba ya nyasi,
Ichape mabanzi akili zirudi mahala pake
 
Nyumba mbovu lakini ni yake nawewe kajenge yako na kama unaona inakukera mjengee
 
Umelelewa kimamaa sana ww , sasa subiri na ww uwe na kwako ndo ufanye unavotaka
 
We dogo ndo hujielewi kabisa.,

Acha chuki kwa mzee wako,mpongeze na mpende kwa alipokufikisha sasa,kuwa na shukrani utosonga zaidi.
 
Hubu tutolee
ujinga wako hapa!
 
Sikiliza Boss, hakuna sababu ya kumchukia na kumbuka dunia haikupi kila kitu. Mzee alipambana (kama ulivyosema) kukupa hiyo Digirii, hilp ndilo lilikua jukumu lake nq alihakikisha hulali njaa kwakuwa kafanikiwa kwenye hayo mshukuru sana na mambo ya nyumba nzuri na nini tafuta mwenyewe yale yalikua maisha yake ambayo ww ulilazimika kuyaishi kwakuwa ulikua chini yake....sasa una digirii (aliokupa) tumia fursa hiyo kutengeneza vile mzee hakukupa.

Kumchukia hakusaidii kitu zaidi itakufanya kuwa na moyo mgumu kumsaidia atakapohitaji msaada na zaidi pengine hiyo chuki inqweza pelekea kusahau hata mazuri aliyokwisha fanya.

Ukipata fursa ya kuongea nae usisite kumpe hongera zake kwa part yake aliyocheza kwako usisubiri mpaka afe.

Mungu amjaakie mzee na mababa wengine wote wanaojielewa.
 
Yaani kwa hiki ulichoandika bado inaonesha nikiasi gani hata hiyo elimu uliyopata haikukusaidia,bora hata baba yako angekunywa bia hizo pesa za ada kuliko kukusomesha mbutwai kama wewe,,
Sasa nakuagiza nenda kampe pongezi toka kwangu kwa hicho alichokufanyia,na kwa upande wako endelea kumchukia na pengine usipate hata hiyo nyumba ya udongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…