Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,281
- Thread starter
- #61
OkSitemi ni uongo.
OkSitemi ni uongo.
Endelea tu! Alikuwa mlinzi baada ya kuacha kazi!-Mliishi kama wazungu full raha(?),
-mliishi nyumba mbovu isiyo na sakafu(uzungu ulikomea kwenye kula tu(?),
-baba yako alikuwa mwalimu ila aliacha kwa kulogwa na wenzie...[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13],
-tena "alikuwa mlinzi wa kampuni" fulani (?).
Bado nina maswali "pomoni"!Niendelee au nisiendelee?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa nini msingeweka mgomo wa kutokula na kunywa kama wafungwa wa kisiasa ili mumshinikize baba yenu akarabati/aiboreshe nyumba?Endelea tu! Alikuwa mlinzi baada ya kuacha kazi!
Tulikula vizuri na alitupa care ndani ya uwezo wake na kila tulichohitaji. Ila nyumba na mazingira tu kwa ujumla yalikuwa mabovu na hakutaka kushaurika, tuliaibika mno kwa wageni.
Alikuwa hashauriki kabisa, alikuwa anachukiza sana.Kwa nini msingeweka mgomo wa kutokula na kunywa kama wafungwa wa kisiasa ili mumshinikize baba yenu akarabati/aiboreshe nyumba?
Hapana! Sidhani.Baba yako ni usalama.
Basi atakuwa amefanikiwa kwenye hilo kwa kuweka siriBaba yako ni usalama.
Mpumbafu huyu ..eti anaonea aibu mademu wanaomtembelea nyumbani .... Bira dingi angepiga nyeto tu kuliko Toto jinga lisilo na shukrani kama hii nguruweNilitegemea kuona labda mzee ni mnyanyasaji, mtesaji lakini maskini baba watu hajaweka sakafu tu.
Kweli kuzaa unaweza zaa kizaazaa..watoto hatuna shukrani
bwana PGONyoko kweli, ulitaka ugonge demu kwenye nyumba ya mwanaume mwenzio?
Au nimekosea??bwana PGO
😂😂😂😂😂
Hajawahi kunikalisha kikao na kunieleza.Una miaka kama 33. Unatakiwa kuelewa aliyopitia mzee wako. Acha utoto.
Unalaumu nini sasa sakafu !!?? Ficha ujinga wako mjaaaa laaanaEndelea tu! Alikuwa mlinzi baada ya kuacha kazi!
Tulikula vizuri na alitupa care ndani ya uwezo wake na kila tulichohitaji. Ila nyumba na mazingira tu kwa ujumla yalikuwa mabovu na hakutaka kushaurika, tuliaibika mno kwa wageni.
Mngezingatia kuweka mgomo wa kula.Ok,hata hivyo haupaswi kumchukia.Kipande cha wajibu wake alikitendea haki kwa kiasi cha alipofikia.Usinung'unike.Ni wakati sasa na weye uitendee family yako ulivyojaaliwa kadiri ya uwezo wako.Chapa gwaride la maisha,kaza mwendo!Alikuwa hashauriki kabisa, alikuwa anachukiza sana.
Umri huo ukalishwe kikao akueleze Yaaani ungelelewa na madingi zetu ndio ungejua kushukuru ..... Wewe umesoma ila HUJAELIMIKA swine mmoja .Hajawahi kunikalisha kikao na kunieleza.