Namchukia mzee wangu!

Mzee wako ni mzee aliyejaa hekima sana na hakuwa mchoyo. Ila akili yake kama nimemuelewa kuna wazee wana hela hapa mjini wanatembelea gari za zamani. Wanaishi nyumba za kawaida, niliwahi kuwauliza wakaniambia wanafanya hivyo ili watoto wasiwaze kurithi mali zao, yaaani watoto watafute za kwao. Hata mimi mwenyewe nasomesha baadhi watoto wa ndugu zangu na watoto wa kijijini ili watoto wangu wasifikirie hivi ni vya kwao na kuwa wachoyo wa fikra na maendeleo.
 
Mkuu unaweza kuwa upo sawa, lakini kwa upande mwingine nakuona una mapungufu fulani!
Lazima utambue kuwa kila mtu huwa ana interest zake katika namna alivyopangilia maisha yake, Hivyo sio wa kumlaum kiasi hiko! Unajuaje, labda anawalea ninyi kulingana na jinsi alivyolelewa yeye na familia ya wazazi wake!
Kama ameweza kuwapambania kwenye elimu na mkaja kupata kazi ni jambo la kushukuru Mungu, kuna wengine huwatelekeza watoto moja kwa moja anashinda vilabuni tu hata hajuwi mnakula nini?
Kama umeweza kusoma na kupata kazi wewe ndiye mjengee nyumba mpya ya muonekano unaoutaka! Au kama una kipato kidogo basi ikarabati tu ipate muonekano unaokupa amani, usimlaum yeye huenda analidhika na muonekano wake!
Pia kufuatilia masuala ya mzee wako kuchepuka na vibint ni kumkosea heshima, tambua kuwa hao ni mama zako wadogo lazima kuwaheshimu!
Jaribu kuvuta picha katika enzi za ujana wake alipoanza na mama hapo akiwa bint mbichi, Je kuna tofauti gani na hao mabinti?
Achana kabisa na huo utamaduni wa kumfuatafuata sana mzee wako, unaweza jikuta unamfanyia kitu ambacho kitakuachia laana na gundu maishani mwako mote!
Yaheshimu maamuzi yake na zaidi mvumilie atapita! Usiruhusu afe na akiwa na kinyongo na wewe moyoni mwake!
Kama jambo lipo ndani ya uwezo wako lifanye wewe mwenyewe, hapo unakuwa unamsaidia yeye na Bimkubwa hapo home!
 
Wanaume tunapitiaga mengi, basi mengi yenyewe ndio kama haya, yaani sometimes bora mzee hiyo tarehe uliyotungwa, angeenda chooni ajipigie nyeto ili haepukane na mtoto kama ww ,tena wa kiume kijana kuwa uyaone sio magorofa.

Ila si shangai mara nyingi jasho la wanaume kwa familia halithaminiki, richa ya nguvu nyingi wanazo zitumia wazee wetu kuhakikisha tunapata mahitaji yote.
 
Kuwa mwenye shukrani kwa baba yako.
Hiyo nyumba pambana uirekebishe were.
 
Yule mzee soon atakuwa ni wewe, sasa jiandae kujenga nyumba yenye sakafu ili wanao wasione aibu kuleta demu ghetto [emoji23]
 
Mkuu shukuru sana una baba japo unamtusi kiasi icho maana wengine baba zao walikojoa tu ule mkojo mweupe na awakuwai kurud nyuma wala kujua matokeo ya mkojo wao, futa huo ujinga na km uliona mzee alikosea rekebisha ww hyo nyumba.
 
Heri yule aliyefanikiwa kuishi na Mzee/Baba yake angalau hata siku tatu tu.
 
Duu uyu mzee angekua baba angu ningemjengea sanamu nyumbn kwangu kila atakae ingia kwangu alibusu ndo aingie ndani

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Umekua sasa kama unaona rahisi kajenge nyumba yako yenye tiles na mambo yote unayoyataka..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…