Jinga sana weweMmmmh ila kwangu mbona tofauti, nina akili kupita watoto wote(za darasani), watu wanasema pia mimi ni handsome kuliko watoto wote wa kiume, pia ni pekee nimefika advance na chuo.
Ila nimefanana na mzee mno, pamoja na bi mkubwa, hapo sijajua inakuwaje.
Kifupi ni mtoto wao halali kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah wapi.