Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,363
- 2,261
Wazima eeeh? Huwa najiuliza sana na nipo kwenye mgogoro mbaya sana wa nafsi, tupo wanaume 3 katika familia.
Kwann kaka zangu wote 2 wana maisha mabovu? Yaani mmoja ana 40+, mmoja ana 30 now na anategemea kwa mzee.
Huwa nachukia mno, yaani na hiki kidogo nao wanataka wapate. Nachukia kupata ndugu kama hawa, nachukia, na dada zangu wameishia kuzalishwa na kuachwa tu, kifupi wamezalia nyumbani wote 5.
Sijui wamertihi kwa bi mkubwa, nae alizalia home kwao na walikuwa washirikina na walikuwa na maisha mabovu. Mzee baada ya kumbana mno, alinijibu "mwanangu nilifanya makosa katika kuoa, mama yako ni kiburi na hasapoti mipango yangu"
Sasa hii inakuwaje? Yaani mzee alikuwa na kijiuwezo ila amezaa matoto ya kiume na kike masikini hivi?? Yaani hata kumsaidia mzee 30000 ni mtihani?? Nahapa sitokuja kidekeza watoto km mzee alivyofanya.
Nashindwa kuendelea kuandika, nina hasira mno, bado nina chuki na hili zee, jamni naumia siwezi kuendelea
Sent using Jamii Forums mobile app