Namchukia mama mkwe, yaani hatari

Imagine angekua mtoto wako anagegedwa na njemba .... ungefurahi?
 
Kijana huna adabu na maadili halafu unakuja kulia lia hapa...

Utaendelea kumchukia mama wa watu na binti utamkosa kinyangarika wewe...
 
Ili niweze kukusuport kwa hili, unalazimika kuniambia ni maandiko au theory gani inayokuruhusu wewe kuchukua mtoto wa watu ukaishi nae kama mke wako, ukizini naye bila yakufuata taratibu na kanuni ambazo jamii imeziridhia. its likely that baada ya kumtwisha mzigo huyo msichana utamtelekeza na wewe kutafuta mtu mwengine huku yy akihangaika na dunia.
Hao wazazi wa huyo msichana wanafanya the right thing, na huna sbb ya kuwachukia, wewe ndo unapaswa watu wakuchukie kwa matendo yako maovu.
 
Siku zote mahari inapunguzika na ukishakuwa tayari na kudhamiria kuoa nenda na mshenga mkapange kla ktu na kuomba kupunguziwa mahari,pia co lazima mahari imalizwe kama kweli una nia na huyo binti fanya hvyo ndugu...kila la heri.
 
huna adabu! zaa wakwako kisha muoe hivyo kihunihuni! kazi yenyewe huna! unawaza ngono tu! hao watoto utawalisha kondom!?
 

HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA:Mkuu sioni sababu ya msingi ya wewe kumchukia huyo mama!!besides u hv inferioty complex hapo kwenye "red" mkono mtupu haulambwi. Umiza kichwa mtoto wa kiume ( find money) !!!! there z no free lunch!!aGOgiver Agoget!!!!!!!!!!
 
shukuru mama mkwe amekupunguzia majukumu
unavyosema ulikuwa unaishi na huyo dada alafu hauna kazi si ungemuua mtoto wa watu kwa njaa
sa hiv uko free una muda wa kutafuta kazi na utapata mahari ya kumchukua mrembo..
 
Mi nataka kujua umuwezaje kumudu gharama za maisha ukizingatia uliishi na mtoto wa watu kwa kipindi fulani halafu ushindwe kutoa mahari?

Kwa ninavyofahamu mahari sio lazima itolewe yote kwa mkupuo.

Ushawahi kwenda ukajitambulisha kwa wazazi wake nao wakajua malengo yako/yenu? Usiku
 
Last edited by a moderator:
Mama mkwe yupo sahihi

Hakuna mzazi anayetaka binti yake achukuliwe hovyo hovyo tu kihuni

Usitumie umasikini wako kama fimbo ya kupata vitu bila kufuata taratibu, kwanza ndo ilipaswa iwe changamoto kwako ya kujituma badala kubweteka na kutafuta kazi
 

Na iyo mahari una Uhuru wa kuwaambia waipunguze if ua not capable.Halafu ndo ufunge ndoa co lzm ufanye sherehe baada ya kufunga iyo ndoa.
 












------

I second you learned...Utakuwa msomi wa Sheria kwa sababu lugha na jina lako vinasadifu
 
Hahahahaha yeye alitaka wazazi wa binti wamuonee huruma kisa hana kazi . Tena hii ya kutokua na kazi ni sababu tosha kuwa hana uwezo wa kutunza mke. Huyo binti hajielewi ndio maana akaamua kukaa na jamaa bila kufuata utaratibu.Mkuu mtoa mada fuata taratibu mke utapewa tu kama walivyokwambia lipa mahali usitafute ugomvi na wakwe .
 
Kijana huna adabu na maadili halafu unakuja kulia lia hapa...

Utaendelea kumchukia mama wa watu na binti utamkosa kinyangarika wewe...
Afadhari hatuonani hivi ungemuona mtoa mada si ungempiga kelbu wewe lol. Hahahaha sipati picha ambavyo ungemkata mitama na vikofi vya hapa na pale . Ukizingatia huyo ni binti yako halafu lijamaa linaleta hizi hadithi humu khaaaaaa. Jamaa anataka kuhurumiwa yeye fukara, inashangaza kijana msomi na mzima wa afya analia lia kipuuzi eti ufukara kwani ufukara kilema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…