Ndugu, ukitaka kuweka avatar fuata hii link https://www.jamiiforums.com/usercp.php kisha pembeni kushoto tafuta sehemu imeandikwa MY SETTINGS, chini yake utapata option imeandikwa Edit Avatar.... Basi ukishafungua itakuonesha sehemu inayosema Upload Image From Your Computer: mbele yake kuna kiboksi kimeandikwa Browse, ki-click na moja kwa moja kwa moja itaingia kwenye system yako na utakachotakiwa kufanya ni kuchagua picha unayotaka kutoka mahali ulipoiweka kwenye system yako then unai-upload....