DOKEZO Namba za NIDA na Taifa Gas (Kampuni ya Rostam)

DOKEZO Namba za NIDA na Taifa Gas (Kampuni ya Rostam)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Kutokana na tuhuma alizotoa polepole jana, zimenirudisha nyuma kidogo kiasi cha wiki mbili hivi.

Hawa wasambaza gas za Taifa Gas mitungi midogo ambayo wanatoa kwa bei ya offer ghafla saba wanapokupa unaacha namba ya NIDA. Sijajua lengo la NIDA number ni nini na kuna mahusiano katika ya Gas na NIDA tena ambayo inalipwa cash bila mkopo.

Gas zinasambazwa mikoa mbali rukwa katavi na tabora ndio nimeshuhudia sana kila anapopewa mtungi kabla unawasilisha nida yako.

Inawezekana kuna ukweli mkubwa kuunganishwa kwa mifumo hii. Wanazikusanya namba wakafanyie nini?

Uwezekano mkubwa ni kwa ajili ya kutupigia kura zile milion 37 zao walizoandaa
 
Screenshot_2024-09-12-15-13-25-78-1.png
 
Ndio watu wanapigishwa kura kupitia Taifa gas hivyo.
 
Juzi nilisikia wakisema CCM ina wanachama milioni 13.

Je kwa huu ukusanyaji holela wa NIDA kwa nini tusifikiri kwamba wameunganishwa automatically kuwa wanachama, bila mhusika kupenda wala kujua?

Kama kuna wapiga kura feki, siyo vigumu kuwa na wanachama feki.
 
Back
Top Bottom