Wananchi tunahoji kwanini namba za NIDA hazijatoka zaidi ya miezi miwili toka zoezi la usajili wa namba za NIDA kufanyika katika kata za jiji la Arusha.
Wengi wao wenye uhitaji wa namba za nida ni wanafunzi wanaotarajia kufanya application za mkopo wa elimu ya juu huku baadhi yao wakienda...
Habari Jf. Kuna kesi ya mwanafunzi mwenye miaka 17 anayepaswa kujiunga na Chuo Kikuu mwaka huu. Nashindwa kusajili namba yake ya NAPA. Msaada tafadhali
Kutokana na tuhuma alizotoa polepole jana, zimenirudisha nyuma kidogo kiasi cha wiki mbili hivi.
Hawa wasambaza gas za Taifa Gas mitungi midogo ambayo wanatoa kwa bei ya offer ghafla saba wanapokupa unaacha namba ya NIDA. Sijajua lengo la NIDA number ni nini na kuna mahusiano katika ya Gas na...
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetangaza kusitisha matumizi ya namba za utambulisho kwa wale waliokaidi kuchukua vitambulisho vyao.
Tangazo hilo linakuja ikiwa zimesalia siku 15 kufikia ukomo wa agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, la kusambaza vitambulisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.