CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Apr 28, 2012 #1 heshima yenu wakuu! kuuliza co ujinga. naomba kujuzwa ni kwa nini namba zingine za cm za nje ya nchi zina tarakimu (digits)11 na nyingini zina 12 tofauti na hapa kwetu tanzania zote zina tarakimu (digits) 12 ukiweka na code ya nchi?
heshima yenu wakuu! kuuliza co ujinga. naomba kujuzwa ni kwa nini namba zingine za cm za nje ya nchi zina tarakimu (digits)11 na nyingini zina 12 tofauti na hapa kwetu tanzania zote zina tarakimu (digits) 12 ukiweka na code ya nchi?