CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
heshima yenu wakuu! kuuliza co ujinga. naomba kujuzwa ni kwa nini namba zingine za cm za nje ya nchi zina tarakimu (digits)11 na nyingini zina 12 tofauti na hapa kwetu tanzania zote zina tarakimu (digits) 12 ukiweka na code ya nchi?