Mary Glory
Senior Member
- Mar 20, 2011
- 124
- 20
jaman naomba mwenye namba ya tanesco hawa EMERGENCY wa zone ya kinondoni kwani waya wa umeme umeanguka ni hatari sana na umeme haujakatika so nahisi zinaumeme hizi nyaya hapa chini.
Mary Glory, Kinondoni South inayocover maeneo ya magomeni,ubungo, kimara na Sinza ni +255784271461 kinondoni North inayocover oysterbay,mbezi beach,tegeta na mikocheni ni +255784768584 mkoa wa ilala ambao unacover mwananyamala, tabata, mjini,kariakoo na upanga ni +255784768586 namba ya National Call center inayopokelewa Ubungo HQ+255222194400