Namba ya tanesco

Mary Glory

Senior Member
Mar 20, 2011
124
20
jaman naomba mwenye namba ya tanesco hawa EMERGENCY wa zone ya kinondoni kwani waya wa umeme umeanguka ni hatari sana na umeme haujakatika so nahisi zinaumeme hizi nyaya hapa chini.
 
Mary Glory, Kinondoni South inayocover maeneo ya magomeni,ubungo, kimara na Sinza ni +255784271461 kinondoni North inayocover oysterbay,mbezi beach,tegeta na mikocheni ni +255784768584 mkoa wa ilala ambao unacover mwananyamala, tabata, mjini,kariakoo na upanga ni +255784768586 namba ya National Call center inayopokelewa Ubungo HQ+255222194400
 
Asante sana nsiande .nimewapigia na wako njiani kuja.
 
Tanesco wana matatizo gani Sinza, Mbona umeme unakatika siku zote? Sinza maeneo ya Saroi Hotel (Karibu na Sinza Deluxe) Chimwaga Road. Hakika wananchi wanaoishi maeneo haya wanateseka kwakweli. Sijui ni mgao ama tatizo ni nini? Toka tarehe Moja mwezi wa pili 2018 umeme haujawahi kuwaka siku nzima.
 
Back
Top Bottom