Namba ya nani unaitafuta bila mafanikio?

Tulio soma zile hesabu za Permutation na Combination hapo lazima utashangaa na nafsi yako, hatukosei.Ngoja apigiwe.
Ahahahahahaha......
Una permutate wee halaf una combine ...ukisha pata msululu wa namba zako unaanza kukomaa Piga moja baada ya nyingine 😂😂😂😂😂
 
Mbona hamjaomba namba ya nanii???
Yaan nimepitia kila post ila namba yake haijaombwa.
Na mimi siombi vile vile 😂😂
 
Hakuna hata anayetafuta namba yangu? Au ndo hadi uwe na influence yoyote humu JF?

Ngoja nisubiri kam hakuna mi ntatafuta namba ya mtu flan hv yupo humu.
 
Back
Top Bottom