Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,578
- 235,424
Mimi si mpole hata kidogo.We kapole sana
Mpka msamaha.
Mimi si mpole hata kidogo.We kapole sana
Mpka msamaha.
Ile uliyotuma mwaka huu si yako?Pm mpya kila siku?
Tht is not u confused m with sm1 else.anyway ni ngumu kukushawishi unacho amini sio...i rest my case & keep hope for the best.mchana mwema
Ooh mkorofi?Mimi si mpole hata kidogo.
Hapana[emoji23][emoji23][emoji23]Ooh mkorofi?
😅 😅 😅 😅Hapana[emoji23][emoji23][emoji23]
Mstaarabu Sana ila si mpole
Hahaha![emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hapo kwenye ustaarabu nimenusa ukorofi kiasi, hasa ukali.
Misimamo mikali ndio inayoleta ukali, kwaio wewe ni mkali, i hope huongei kwa ukali lakini😅.Hahaha!
Ni mstaarabu tu na nina misimamo ambayo sometimes inayfanya nionekane mkali.
Hamna jamani [emoji23][emoji23]Misimamo mikali ndio inayoleta ukali, kwaio wewe ni mkali, i hope huongei kwa ukali lakini[emoji28].
Hapo sawa.Hamna jamani [emoji23][emoji23]
Misimamo laini tu!
Naongea kipole mno
Usiogope[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo sawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Natafuta ya yule mkalimani wa jana Dodoma
Kabisa uni-ubirie.Usiogope[emoji23][emoji23][emoji23]
Hutachoka kunisikia nikiongea
Hahah!Kabisa uni-ubirie.
Hujawai kuhubiri ww😅?Hahah!
Unadhani najua basi!![emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawahi hataHujawai kuhubiri ww[emoji28]?
Ahahahahahaha......Tulio soma zile hesabu za Permutation na Combination hapo lazima utashangaa na nafsi yako, hatukosei.Ngoja apigiwe.