Namba ya maulizo tanesco (luku)

Dona Kantri

JF-Expert Member
Dec 13, 2012
346
115
za asubuhi wadau, leo asubuhi nimenunua umeme kupita m_pesa lakini cha ajabu ni kwamba nimetumiwa tokeni zikiwa hivi :
sasa sijaelewa kabisa. msaada namba yao niwaulize, nimetafuta kwenye web yao sijaipata.
 
Kwa faida ya wana JF wengine Pia:
  • Kwa shida yeyote inayojitokeza kuhusiana na huduma zinazopatikana kwenye M-pesa (yaana *150*00#) piga hii namba 15366 (Mpesa customer care ) - Hivyo ndugu Atom hiyo ndio namba ulipaswa kupiga.
  • Kupata token zako za LUKU/umeme piga *150*50*100300*Namba_ya_mita_ya_luku# iwapo fedha imeliwa na haujapata token. (Kama ilivyo hii case yako mkuu Atom )

Source: Mimi mwenye nilikumbana na hili tatizo jana (01 August ) asubuhi.
 
Namba yao nyingine hii 0783 313 342.
 
Problem solved, nashukuruni wote jameni
 
Back
Top Bottom