Namba tano kwenye keypad za simu.

Namba tano kwenye keypad za simu.

Naomba nieleweshwe kwa nini kitufe chenye namba tano kwenye keypad za simu kina nukta au alama tofauti na namba nyingine?
Hebu angalia simu yako

Th same reason kwa batani za herufi F na J kwa your PC.
 
Mark of the beast.
Ukijumlisha mstari wa kwanza wa keypad za simu yako yaani
1+2+3=6.
Then ukijumlisha mstari wa pili pia utapata 6.
4+5+6=15=1+5=6
ukijumlisha mstari wa mwisho pia utapata 6.
7+8+9=24=2+4=6.
Kiji alama kwenye namba tano ni ukamilisho wa namba 666 ambayo ni namba ya Shetani.
Kumbuka tano ndiyo namba ya katikati kwenye simu yako.

unajiaibisha!!
15=1+5=?!!
24= 2+4=?!!
 
mh, hiyo 666 kama imechakachuliwa hivi soo kila kitu 666 tutatumia nini sasa maana hadi keyboard ya computer nayo mtasema ina 666 kwa hiyo tusile?tusinywe?tusitumie computer na simu kisa 666?aah tupa kuleeeeeeeeeee
 
Mark of the beast.
Ukijumlisha mstari wa kwanza wa keypad za simu yako yaani
1+2+3=6.
Then ukijumlisha mstari wa pili pia utapata 6.
4+5+6=15=1+5=6
ukijumlisha mstari wa mwisho pia utapata 6.
7+8+9=24=2+4=6.
Kiji alama kwenye namba tano ni ukamilisho wa namba 666 ambayo ni namba ya Shetani.
Kumbuka tano ndiyo namba ya katikati kwenye simu yako.

ndio ubaya wa wabongo kila kitu mnataka kukihusisha na mambo ya kishetani.
 
Acheni zenu nyie hiyo ni home key. kwenye computer angalia keyboard yako key "F" and key "J" nazo zina kijitufe kwa lengo hilohilo meant that index fingers rest there na ukiwa expert wa typing unaweza type bila kutazama keyboard yako so unafeel hivyo vitufe kutumia index fingers na unaweza kutype any word. so kwa wenye keyboard yenye extension ya number key kuna key number "5" ambayo ina kijitufe kwamba second finger ina rest pale index finger inarest kwenye number 4 na ring finger ina rest kwenye namba 6 pia little finger ina rest kwenye Enter key. chunguza keyboard yenye extension ya number key utaona hiyo ila ni laptop chache zenye extensio ya number key.
 
Mark of the beast.
Ukijumlisha mstari wa kwanza wa keypad za simu yako yaani
1+2+3=6.
Then ukijumlisha mstari wa pili pia utapata 6.
4+5+6=15=1+5=6
ukijumlisha mstari wa mwisho pia utapata 6.
7+8+9=24=2+4=6.
Kiji alama kwenye namba tano ni ukamilisho wa namba 666 ambayo ni namba ya Shetani.
Kumbuka tano ndiyo namba ya katikati kwenye simu yako.

Hapa inahitajika elimu zaidi. Hatujakuelewa mkuu
 
mhh.. mine sony ericsson vivaz pro HD 8ui. kwenye 5 kuna herufi G basi... sioni nukta ... nafkiri inategemea na brand ya simu ..
 
Mark of the beast.
Ukijumlisha mstari wa kwanza wa keypad za simu yako yaani
1+2+3=6.
Then ukijumlisha mstari wa pili pia utapata 6.
4+5+6=15=1+5=6
ukijumlisha mstari wa mwisho pia utapata 6.
7+8+9=24=2+4=6.
Kiji alama kwenye namba tano ni ukamilisho wa namba 666 ambayo ni namba ya Shetani.
Kumbuka tano ndiyo namba ya katikati kwenye simu yako.
Naingia kichwa kichwa na míguu miwili ktk hili
 
Mark of the beast.
Ukijumlisha mstari wa kwanza wa keypad za simu yako yaani
1+2+3=6.
Then ukijumlisha mstari wa pili pia utapata 6.
4+5+6=15=1+5=6
ukijumlisha mstari wa mwisho pia utapata 6.
7+8+9=24=2+4=6.
Kiji alama kwenye namba tano ni ukamilisho wa namba 666 ambayo ni namba ya Shetani.
Kumbuka tano ndiyo namba ya katikati kwenye simu yako.

Hahahaha hii obsession ya 666 duh. Yaani unalazimisha hesabu ivo ivo ilimradi 666 ikubali. Hahahahaha
 
hicho ni kwa ajili ya kukutekenye tu ukiwa unabofywa bofya ...maana kwenye iphone 4 ya mama gaude nimekitafuta kweli sikioni
 
unajiaibisha!!
15=1+5=?!!
24= 2+4=?!!

Maana yake ni kuwa, ukichukua tarakimu mbili zinaunda 15 (yaani 1 na 5) ukizijumlisha unapata 6 {1+5=6}.
The same kwa 24=>2 na 4
then, 2+4=6.

Lakini kama ulivyo-comment ni kweli. Ni too low ku-connect kila kitu na 666 au massonic number.
Majibu yaliyotolewa yako wazi.
 
Sio kwa ajili ya wasiiona tuu , pia hata wewe unayeona ukiwa gizani au simu ikiwa mfukoni unaweza piga namba yeyote kwa kujua tano ilipo (kati) . Ukipanda juu ya tano kuna 2, kushoto kuna 4, kulia,6 chini 8, na nyingine utazijua kwa kufanya zoezi hili kidogo sana.
Hii ni kama vile keyboard ya computer ilivyo na vijiuvimbe kwenye herufi F na J ili kumsaidia mtumiaji kujua herufi zilipo bila kuangalia keyboard. Yote yanawezana kwa mazoezi.
 
Acheni zenu nyie hiyo ni home key. kwenye computer angalia keyboard yako key "F" and key "J" nazo zina kijitufe kwa lengo hilohilo meant that index fingers rest there na ukiwa expert wa typing unaweza type bila kutazama keyboard yako so unafeel hivyo vitufe kutumia index fingers na unaweza kutype any word. so kwa wenye keyboard yenye extension ya number key kuna key number "5" ambayo ina kijitufe kwamba second finger ina rest pale index finger inarest kwenye number 4 na ring finger ina rest kwenye namba 6 pia little finger ina rest kwenye Enter key. chunguza keyboard yenye extension ya number key utaona hiyo ila ni laptop chache zenye extensio ya number key.

Mkuu mbona unakuja na ma-dharau kibao halafu mbele unajiaibisha? Hebu soma kichwa cha mada halafu soma post yako. Kwenye simu unatumia index ku-type?...it will be superb!!

Usikurupuke!!
 
Acheni zenu nyie hiyo ni home key. kwenye computer angalia keyboard yako key "F" and key "J" nazo zina kijitufe kwa lengo hilohilo meant that index fingers rest there na ukiwa expert wa typing unaweza type bila kutazama keyboard yako so unafeel hivyo vitufe kutumia index fingers na unaweza kutype any word. so kwa wenye keyboard yenye extension ya number key kuna key number "5" ambayo ina kijitufe kwamba second finger ina rest pale index finger inarest kwenye number 4 na ring finger ina rest kwenye namba 6 pia little finger ina rest kwenye Enter key. chunguza keyboard yenye extension ya number key utaona hiyo ila ni laptop chache zenye extensio ya number key.

Hata kwenye simu za mezani namba tano ina kitufe sawa na kwenye keyboard ya computer!
 
While you are on it,hivi kwa nn namba za sim zinaanzia kutoka juu kuja chini huku za calculator zinatoka chini kwenda juu,kwa nn zisifanane zote..?
 
Back
Top Bottom