Namba mp3 ya Deborah cox "who do u love"

Mkuu unaweza kunipatia link au nyimbo za Franco luambo makiadi za 70s na early 80s abnormal
Mkuu nimekuwekea na hiyo app unaweza kuidownload na ukatafuta nyimbo zozote unazotaka kwa mfumo wowote kati ya video au audio, mp3 na mp4


Nitarudi tena baadae
 

Attachments

  • Screenshot_20231113_002620_Chrome.jpg
    Screenshot_20231113_002620_Chrome.jpg
    110.3 KB · Views: 3
Mkuuu! Hii nimeshindwa kuidownload! Inaniletea error! Nyingine nimefanikiwa. Kuhusu kuinstall app nikiend playstore haipo inayofanana na hii! Actually nimekukubali na hii app kama ntaipata ntashukuru abnormal

Inaniletea error hii
Hii app nilisahau kukueleza kuwa play store haipo download kupitia chrome au google search.

Kama ikishindikana kabisa pia unijulishe mkuu niweze kuuweka huo wimbo hapa moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom