Namba ipi hapo ni nzuri ?

Namba ipi hapo ni nzuri ?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
222418_624386307579287_626622648_n.jpg
 
Mkuu saudari hatumzungumzi marehemu kwa ubaya tunazungumza uzuri wake hapa. Haitaikiwi marehemu utaje mabaya yake taja mazuri yake.

Kwa kuzungumzia namba kama kichwa vha habari kinavyosema, mie huwa napenda namba 3 ila tukizungumzia uzuri wa picha namba 1 ndo alikua na muonekano mzuri.
 
Ya kwanza ndiyo poa kwani alikuwa bado hajaji-Wema Sepetu (kujiharibu).

coment kama hizi ni moja ya mambo yaniyonifanya nije kuzurura huku nikipata mda hata kama sina mudi,,,nilizowahi kukutana nazo nikaziweka akilini ni ,,TBccm,POLIccm,na kujiwema sepetu teheheh
 
Ya kwanza anafuraha, hizi zingine anajihurumia alivyomkosoa muumba wake.
 
coment kama hizi ni moja ya mambo yaniyonifanya nije kuzurura huku nikipata mda hata kama sina mudi,,,nilizowahi kukutana nazo nikaziweka akilini ni ,,TBccm,POLIccm,na kujiwema sepetu teheheh


Umesahau Clouds-ccm, JF ni zaidi ya chuo kikuu.
 
Back
Top Bottom