Hospital ya Internship ya udaktari

Hospital ya Internship ya udaktari

Ipi hospital nzuri kwa ajili ya internship ya udaktari?
Kama uwezo upo usiende Zile hospitali pendwa sana tafuta hospitaliz za mission hasa zile za Pembezoni
Litembo
Ndanda
Peramiho
Nkinga
Baadhi ya RRH ambazo sio mikoa yetu ile Pendwa utaiva sana kwigine huko sijui Agakhan Baba utaishia kupeleka wagonjwa kwenye Xray kupeleka sampuli Maabara kufatilia majibu na Kupata shule haswa ya Nadharia zaidi utafanya mapresentation sana tu
 
Back
Top Bottom