mpiga era
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,079
- 2,255
Ni huyu mpumbavu na Mimi alinipigia aiseeNamba nyingine ni 0658454208,yeye staili yake anakupigia na kujifanya ni mtoa huduma kwa wateja.
Ukimshtukia anaanza kutoa matusi,nashangaa tcra wanaendelea kuwafumbia macho hao matapeli.