Namba hii 0657105692 ni tapeli

Namba hii 0657105692 ni tapeli

denti

Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
18
Reaction score
1
Mtu mwenye namba tajwa hapo juu ni tapeli kwani leo mchana ametuma msg kwangu kama inavyosomeka hapa chini;

''hello am Mr. Frank from verju supermarket Dsm, tupo kwenye kikao tunapitia cv za kuinterview for cashier post, cv yako ni nzuri, nataka nikusaidie upate kazi kwa masharti yafuatayo, mshahara ni 550000 ukipata salary ya kwanza utanipa laki 2 na kabla ya 12:30 jioni uwe umetuma 40000 Tzs kwenda namba yangu niliyokutumia msg''.

Kwahiyo kueni makini wanajamvi na mtu huyu au hii namba.
 
Mi nafikiri hawa watu ni wafanyakazi wa zoomtanzania, haiwezekani wawe wanapata taarifa watu hasa ukiapply kazi online kupitia website yao.
 
Hahahahahaha... Uyo jamaa namfahamu sana ndo zake uyo yan kila siku abadilishi mbinu kila siku iyo iyo anaonekana ana dhiki sana.
 
Huyo jamaa mjinga sana na atakuwa mfanyakazi wa zoom
 
Nilishawahi kum-fake siku moja nkamwandikia msg " nimeona msg yako hiyo 40K niitume kwa namba ipi?" Asivyo na.kumbukumbu ya aliowatumia alinijibu eti "tuma kwenye namba hii" wakati huo sikuwa nimewasikiana isipokuwa mtu alilalamika humu ntachukua namba na kumtumia yaani tapeli jinga halijielewi!
 
Litakuwa kubwa jinga
 
Hello, am Mr. Frank from HOLLARD GROUP LTD Dar, tupo kwenye kikao tunapitia cv za kuinterview for ACCOUNTANT POST, cv yako ni nzuri nataka nikusaidie upate hii kazi kwa masharti yafuatayo, mshahara ni 1,200,000/= ukipata salary ya kwanza utanipa sh. laki 4, na kabla ya saa 11 jioni uwe umetuma sh. elfu 40 by tigopesa kwenda namba hii ili nimpe mtu wa interview anipe maswali amesema anaitaka leoleo, ntakuforwadia maswali kwenye email, nikitoka kikaoni utapigiwa simu lini uje for interview.
 
Shahidi namba mbili mimi hapa.
 
Kwani TAKUKURU huwa hawshughuliki na watu kama hawa, kama wanashughulika nao basi tumripoti ili sheria ichukue mkondo wake na iwe fundisho kwa wengine.
 
Kuna mwingine huyu hapa huwa anakuja na mchoro wa vipuri vya trekta iringa

0685 380 730
 
Mtu mwenye namba tajwa hapo juu ni tapeli kwani leo mchana ametuma msg kwangu kama inavyosomeka hapa chini;

''hello am Mr. Frank from verju supermarket Dsm, tupo kwenye kikao tunapitia cv za kuinterview for cashier post, cv yako ni nzuri, nataka nikusaidie upate kazi kwa masharti yafuatayo, mshahara ni 550000 ukipata salary ya kwanza utanipa laki 2 na kabla ya 12:30 jioni uwe umetuma 40000 Tzs kwenda namba yangu niliyokutumia msg''.

Kwahiyo kueni makini wanajamvi na mtu huyu au hii
 
ni hatari, kwangu namba hiyo na staili hiyo ya utapeli kasfanya sana, huwa napuuzia tu,... ila yafaa siku moja abanwe angle..ala kichapo.
 
Mtu mwenye namba tajwa hapo juu ni tapeli kwani leo mchana ametuma msg kwangu kama inavyosomeka hapa chini;

''hello am Mr. Frank from verju supermarket Dsm, tupo kwenye kikao tunapitia cv za kuinterview for cashier post, cv yako ni nzuri, nataka nikusaidie upate kazi kwa masharti yafuatayo, mshahara ni 550000 ukipata salary ya kwanza utanipa laki 2 na kabla ya 12:30 jioni uwe umetuma 40000 Tzs kwenda namba yangu niliyokutumia msg''.

Kwahiyo kueni makini wanajamvi na mtu huyu au hii namba.
Meseji km iyo rafiki yangu alitumiwa kinachotakiwa ni kui report PCCB tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom