Kuwa makini na tapeli huyu

Kagondo

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
296
79
Kuna msg inasambaa, nahisi kwa wale watu wanaoomba kazi kupitia mitandaoni, CV zao huwafikia hata wasio wahusika.

Hello, naitwa Mr. Kauga from NPC ENVIRONMENT NGO, tupo kwenye kikao tunapitia cv za kuinterview for PROJECT OFFICER post, CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi kwa masharti yafuatayo, salary ni 1,300,000/=(take home), ukilipwa mshahara wa kwanza utanipa tsh. laki 4 kwa kukusaidia, na kabla ya saa 10 leo jioni uwe umetuma tshs. elfu 25 by tigopesa kwenda namba hiihii ili nimpe mtu wa interview anipe maswali na majibu ntakutumia kwenye email leoleo, nitakupigia simu nikitoka kikaoni.

MTU HUYU ANATUMIA NO. 0679 977 193

usishawishike kutoa hela hiyo, wengi wamelizwa.
 
usishawishike kutoa hele hiyo, wengi wamelizwa.
nataka ni mcc afande yoyote,kuna aliye humu?anze kazi mara moja. Ilikufikia jumatatu awe ameleta mrejesho.
 
Aisee, nimepigiwa na namba kama hii Jana Ila sikuona na wala nilivokuwa missed call sikuhangaika kumtafta. Kumbeeee
 
ndo hivo,,, mi nilitumiwa msg, alfu nikamtega, nikawa namwambia asijal hela ntampa, nikamshawishi anipigie,,,duh! maswali ya kijinga hata hajui kujieleza, sasa mimi nikwa kama ndo namfanyia INTERVIEW anashindwa hata kujieleza CV angu kaitoa wapi,,,mwsho akakata simu.
ila wengi marafki zangu wamelizwa sana na kimchezo hiki
Pia, hakuna mtu wa kukupa hiyo hela ya MSHAHARA kwa sasa, watu tuwe tunaweka UONGO WENYE KUKARIBIA UKWELI jamani Lol.....
 
Kuna msg inasambaa, nahisi kwa wale watu wanaoomba kazi kupitia mitandaoni, CV zao huwafikia hata wasio wahusika.

Hello, naitwa Mr. Kauga from NPC ENVIRONMENT NGO, tupo kwenye kikao tunapitia cv za kuinterview for PROJECT OFFICER post, CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi kwa masharti yafuatayo, salary ni 1,300,000/=(take home), ukilipwa mshahara wa kwanza utanipa tsh. laki 4 kwa kukusaidia, na kabla ya saa 10 leo jioni uwe umetuma tshs. elfu 25 by tigopesa kwenda namba hiihii ili nimpe mtu wa interview anipe maswali na majibu ntakutumia kwenye email leoleo, nitakupigia simu nikitoka kikaoni.

MTU HUYU ANATUMIA NO. 0679 977 193

usishawishike kutoa hela hiyo, wengi wamelizwa.
Dah ... kama kuna wengi wamelizwa...na huyu mnampa heshima ya kuwa ni tapeli.. basi kuna vilazers wengi ndani ya jamii yetu. :)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom