Mtu mwenye namba tajwa hapo juu ni tapeli kwani leo mchana ametuma msg kwangu kama inavyosomeka hapa chini;
''hello am Mr. Frank from verju supermarket Dsm, tupo kwenye kikao tunapitia cv za kuinterview for cashier post, cv yako ni nzuri, nataka nikusaidie upate kazi kwa masharti yafuatayo, mshahara ni 550000 ukipata salary ya kwanza utanipa laki 2 na kabla ya 12:30 jioni uwe umetuma 40000 Tzs kwenda namba yangu niliyokutumia msg''.
Kwahiyo kueni makini wanajamvi na mtu huyu au hii namba.