Kwani namba ina mchango katika performance ya gari?View attachment 1863632
Huyu jamaa angekua na subira si angepata namba T 101 DAA?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nadhani mpaka mwezi january 2022 tutaisoma T 101 EAANaona Plate number D zinazikwa muda wowote kuanzia sasa.
Ni namba za usajili wa magari hapa Tz.Sasa hv ukiwa na Gari namba DW...,utaonekana unaendesha Gari Mpya kwa hapa kwetu TZ..ingawa namba hizo hazielezei Upya halisi wa Gari.Maana unaweza kukuta kuna mtu ana Gari Plate No.BAA na imetemgenezwa mwaka 2005 na mwingine ana hiyo tunaita mpya namba DWZ lkn imetengenezwa 1997.Kwa sisi washamba wa magari, hv hizo namba zinakuwa na umuhimu gani mana kitambo naona watu wakimsubiri hy namba D
Nmekuelewa bossNi namba za usajili wa magari hapa Tz.Sasa hv ukiwa na Gari namba DW...,utaonekana unaendesha Gari Mpya kwa hapa kwetu TZ..ingawa namba hizo hazielezei Upya halisi wa Gari.Maana unaweza kukuta kuna mtu ana Gari Plate No.BAA na imetemgenezwa mwaka 2005 na mwingine ana hiyo tunaita mpya namba DWZ lkn imetengenezwa 1997.
namba haina mchango kwenye perfomance ya gari ila inamchango kwenye kuonesha umri wa gari katika harakati za uzurulaji hapa bongo
Sasa tuko DXG.. herufi I na O itaruka hesabu kutoka H mpaka ZNaona Plate number D zinazikwa muda wowote kuanzia sasa.
Kibali Cha kutembelea chassis number ni sh ngp na ni kwa muda gani?Sasa tuko DXG.. herufi I na O itaruka hesabu kutoka H mpaka Z
Halafu uje DYA.. hesabu mpaka Z ukiondoa I na O
Uje DZA.. Hesabu mpaka Z ukitoa I na O
kama mpaka december 2022 , kama una gari yako unatembelea chasis namba ukijifariji ikiingia namba E utasajili, unajitesa tu na hela za kuhonga trafki na mambo ya time limit.
Kwenye suala kwamba namba determines umri wa hapa bingo wkt mwingne si kwel, hujaona Lori limechoka liko namba DW?namba haina mchango kwenye perfomance ya gari ila inamchango kwenye kuonesha umri wa gari katika harakati za uzurulaji hapa bongo
Okay, hicho kibali kinaweza kutumika hata mwezi mzima?Nafahamu siku za weekdays mwisho saa kumi na mbili jioni, weekend mwisho saa tatu.. usiku ngoja wanao jua zaidi watasema.
🤣🤣🤣 Sawa Kaka nmekubali 🙌🙌🙌wakati mwingine.. umesema.