mikononyuma
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 642
- 594
Aiseee! Kumbe tafsiri ya miaka arobaini ni Kenge pori, miuno ya Mende, matako ya ngiri….
Aiseee! Kumbe tafsiri ya miaka arobaini ni Kenge pori, miuno ya Mende, matako ya ngiri….
Mwache mwenzio azibe mali ghafi.
Mkuu hamna lolote ni ulevi wa weekend tu, furahia uhuru wa kuandika ila uwe makini na unachokiandika, teh tehMkuu mbona una maneno ma-ngumu kumeza ivyo? Du nimehakiki nilichoandika hapa mara 3 kabla ya kupost yasije kunikuta na mimi.
Yaani ingekuwa live wanapewa ulingo sparing zichangamshe jukwaa… sio matusi nyuma ya keyboard, uwoga wa hali ya 10GTeh mkuu hii ni asubuhi, usichukulie serious baadhi ya mambo, hawa viumbe ndivyo walivyo tunaenda nao kwa kiasi cha akili zao
never mind mzeeTeh mkuu hii ni asubuhi, usichukulie serious baadhi ya mambo, hawa viumbe ndivyo walivyo tunaenda nao kwa kiasi cha akili zao
Mkuu elimu iyo ya namba za kiimani sina ndugu!!!!!weka mikono mbele kaka twende sawa
tupigane kisa nini ndugu?Yaani ingekuwa live wanapewa ulingo sparing zichangamshe jukwaa… sio matusi nyuma ya keyboard, uwoga wa hali ya 10G
SawasawaMkuu elimu iyo ya namba za kiimani sina ndugu!!!!!
Pamoja kiongozinever mind mzee
Sasa hayo matusi yote kisa nini? Ngumi kwa wanaume, matusi waachieni kina wema Sepenga..tupigane kisa nini ndugu?
kunywa maji kama umemindSasa hayo matusi yote kisa nini? Ngumi kwa wanaume, matusi waachieni kina wema Sepenga..
Hiyo ya siku za mwizi ni 40 ..Ni msemo tuu ila in reality hauna maana kwamba ...ili mwizi akamwatwe inabidi aibe mara 40Jumapili ya Bwana.
Naomba tujuzane
Yesu alifunga siku 40.
Elia alifunga siku 40.
Siku za mwizi ni 40.
Waisraeli walitembea miaka 40.
40 ya marehemu?
Hii namba 40 ina nini??
Wajuvi wa mambo mtujuze
sawaHiyo ya siku za mwizi ni 40 ..Ni msemo tuu ila in reality hauna maana kwamba ...ili mwizi akamwatwe inabidi aibe mara 40
nawasubiria watujuzeNadhani hata Muhammad alipata unabii akiwana miaka 40... watatuemewesha vizuri wenye kujua zaidi